tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania 4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

    Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi? Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  4. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

    Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

    Ona pia Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara? Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mambo gani yanawakwamisha Wanawake kuingia katika Siasa na Uongozi hapa Tanzania?

    Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za Mitaa na Udiwani Upendeleo wa kijinsia na ukosefu wa rasilimali ni baadhi ya changamoto kubwa...
  8. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Biashara za simu na kompyuta na uagizaji: Bei zetu zote kwa biashara Tanzania

    BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA 📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa ➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu 📱, kompyuta 💻, kamera 📷, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
  9. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuiweka Tanzania Kwenye Ramani ya Maendeleo ya Sekta ya Madini

    Oktoba 13, 2024, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita. Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa Rais Samia, ambaye ameendelea kuweka mbele maendeleo ya sekta muhimu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania itaimarika lini dhidi ya Kenya shilingi (KES) au Dollar ?

    Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo 1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh 1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na thamani...
  11. trojan92

    JamiiForums Tanzania Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  12. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Anga Tanzania chini ya ATCL ni ghali kuliko hata usafiri kutoka Bara moja kwenda lingine kwa mataifa mengine

    Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine. Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga...
  13. Fallback

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania imepatwa na nini kwani?

    Wakuu salamu. Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani? Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online application cha kushangaza baada ya hapo ni kwamba km website imepotea hajui km amechaguliwa au...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

    Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kipengele gani cha Katiba ya Tanzania kinachopiga marufuku uraia pacha?

    Ni sehemu gani katika Katiba ya Tanzania inaposema ukiwa raia Mtanzania ukachukua uraia wa nchi nyingine unakuwa umepoteza uraia wa Tanzania?
  17. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Top 3 GOAT Tanzania Rappers, Serikali itambue mchango wao ikibidi watunukiwe Phd

    Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022, Nchi 10 tu Afrika ikiwemo Tanzania zilipokea 46.4% ya Misaada yote ya Maendeleo kutoka nchi 24 za nje

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34. Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la...
  19. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania

    Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale wanaomiliki ardhi ya kutosha hapa Tanzania. Katika mazingira ambapo kilimo ni sekta muhimu kwa uchumi...
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania This is the richest family in Tanzania

    I’m not sure about the veracity of the contents of this YouTube video, but watching it, I get some AI vibes. Hebu iangalieni na nyie. Sikilizeni jina la Chenge [Andrew] linavyotamkwa. Huyo msimulizi ni mtu kweli au ni mtu bandia? https://youtu.be/xgjJHr6jOYI?si=ZM2fkoImmn6LBzVz
Back
Top Bottom