tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupiga kura Tanzania hauruhusu kuingiliwa na chama chochote, wenye hofu na mchakato wana hofu ya kushindwa

    Leo tujadili mchakato wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo na kutangaza mshindi ili tupate uelewa wa pamoja juu ya mchakato huo katika ukuaji na uimarikaji wa demokrasia ya nchi yetu. Kabla ya kujadli na kuhitimisha ni vema tukafahamu kwa uchache: Mchakato wa uchaguzi Tanzania...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kutoka Karimjee: Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Linawapiga Msasa Wahariri Kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Karimjee, nikiwaletea live, kikao kazi cha Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, NEEC, na wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. kuhusiana na mambo ya uwezeshaji wananchi kiuchumi. Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ni Taasisi...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tusiwe mbali na BRICS, tutachelewa

    Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko 50/50. Hii imesababisha kukosa fursa nyingi kutoka Magharibi na Mashariki na Asia (waisalamu). Kenya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tungekuwa mbali sana, Kikwazo ni CCM

    Ni wazi sasa Tanzania ingekuwa mbali sana kama tungekuwa na vyama pinzani ambavyo ni 50/50 kuliko sasa nchi yetu iko chini ya udikteta wa walarushwa nawabinafsi wa CCM. Tungekuwa mbele kwenye haya 1. Tungekuwa na katiba mpya ambayo inajali maendelo 2. Tungekuwa na mifumo isiyotegemea rushwa...
  6. Marashi

    JamiiForums Tanzania Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya wana SGR Train kali kuliko Tanzania

    Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona anaingia kwenye SGR train, kuona rangi ya behewa nikajua ni zile SGR zetu lakini wahudumu kidogo rangi...
  8. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji 6 International Airports kuwa mshindani kiuchumi East Africa

    Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa. Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aeleza Tanzania inavyojiandaa kuuza umeme nchi jirani na uwepo wa soko la uhakika

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inawakaribisha wawekezaji katika sekta ya nishati ili kuongeza kasi ya usambazaji, uzalishaji na unganishwaji wa nishati nchini Tanzania. Dkt. Biteko amesema hayo leo Oktoba 21, 2023 nchini Singapore wakati...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Afrobarometer zaonesha Tanzania inavyoongoza katika kupambana na umaskini Afrika

    Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri katika kuwaondoa watu kwenye umaskini, na kuiweka Tanzania kuwa miongoni mwa nchi mbili pekee za Afrika...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

    TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IRAN SEKTA YA MICHEZO Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya Michezo. Makubaliano hayo yameingiwa Oktoba 19, 2024 Jijini...
  12. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Tuangalie Uwezekano wa Mfumo wa Kidigitali Katika Kupiga Kura Tanzania: Kwa Nini Tunahitaji Mfumo wa Kidigitali?

    Nimekaa na kuwaza... Hivi kweli haiwezekani tukaleta mapinduzi kwenye mfumo wa kupiga kura hapa Tanzania? Tunajua jinsi uchaguzi unavyochukua muda mwingi, foleni zisizoisha, watu wanaokata tamaa na kuamua kutojitokeza kabisa. Lakini mbona tuna teknolojia mikononi mwetu? Kwa nini tusibuni mfumo...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashinda Tuzo 4 za World Travel Awards

    Tanzania imenyakua tuzo 4 katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards na Marekani, usiku wa kuamkia Oktoba 19, 2024. Tuzo hizi zimetolewa jijini Nairobi nchini Kenya, huku Serengeti ikiendelea kuwa Hifadhi Bora ya Afrika kwa miaka sita mfululizo (2019, 2020, 2021, 2022, 2023, na...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa elimu Tanzania

    Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote. Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri Waliobaki Tanzania wengi ndo wameshikilia serikali elimu yao na vyeti vyao ni tiamatiamaji!! Mtu alipata four ya 28 akasoma...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  16. Kadhi Mkuu 1

    JamiiForums Tanzania Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

    Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana. Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupewa Mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 720 kutoka IMF

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani shilingi bilioni 720 kupitia utekelezaji wa program ya mikopo nafuu ya IMF ya Extended Credit Facility...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji kiongozi kijana kama Ibrahim Traoré wa Burkina Faso

    Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya. Hapa kwetu wazee...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Back
Top Bottom