tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Vuta picha, hiki kimbunga kingepiga mji wowote hapa Tanzania!

    Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe! Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani

    Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024 na kueleza kuhusu Tigo kuhusika na tukio lake la kushambuliwa Simulizi ya Tukio la kushambuliwa kwake "Ilichukua takribani wiki moja kama siku tisa (tangu Polisi...
  3. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Michael A. Battle: Kusema Tanzania haijafungamana, uhalisia haupo hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine. Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
  6. Lino brother

    JamiiForums Tanzania Nini kikwazo cha wasanii Filamu Tanzania kutokwenda kimataifa?

    Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
  7. Bwana kaduga

    JamiiForums Tanzania Majadiliano ya kijamii kuhusu ununuzi wa magoli na athari zake katika soka tanzania

    Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!" Mwingine alihitaji ufafanuzi, akahoji, "Anaweza kununua magoli kisha anayauzia wapi?" Kabla ya...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

    Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali? Maskini ya Mungu, vijana wengi kwa mfano upinzani, wanaishia tu kwenye idara zao za nyakati za ujana...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

    Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop. Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel. Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na...
  10. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Thabit Kombo: Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region

    Tanzania's Minister of Foreign Affairs Hon. Mahmoud Thabit Kombo Says Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region. The region has experience sporadic attacks by militants in that area. Kombo spoke to international news editor Sophie...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kuleta amani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
  13. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtiririko wa fedha haramu sekta ya madini nchini Tanzania waibuliwa

    Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, ikichangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa na ajira. Mchango wake uliongezeka hadi asilimia 9 mwaka 2023 kutoka 7.3% mwaka 2021, na kuunda ajira takriban 19,356, wengi wao wakiwa ni Watanzania. Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajiunga na mradi wa Lobito Corridor

    Mradi wa miundombinu wa Lobito Corridor, unaounganisha nchi nne za Afrika, uko tayari kutekelezwa baada ya Marekani kutoa msaada wa kiufundi kwa ajili ya utafiti wa athari za mazingira. Utafiti wa uwezekano na kusainiwa kwa mkataba wa ukodishaji pia umekamilika kwa reli mpya ya kilomita 780...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haizalishi wakimbizi wengi duniani?

    Kuwa mkimbizi ni kutoka sehemu yako ya asili au unayoishi (comfort zone) kwenda kuishi sehemu nyingine (uncomfort zone) bila hiari yako; umelazima. Kuna aina mbili kuu za ukimbizi; kutoka sehemu zao za asili kwenda sehemu nyingine ugenini ndani ya nchi, na kutoka sehemu zao za asili kwenda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023 Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya HR na Administration ila imekua ngumu lakini kwa ngazi ya serikali pia imekua ishu mpka leo nili...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mikoa mizuri ya kwenda kutoa stress Tanzania ukitokea Dar Es Salaam

    1. Singida 2. Iringa 3. Tanga 4. Arusha
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania, nchi ya watu wastaarabu

    Kwanza nianze kwa kumushukru Mungu muumba mbingu na nchi na Yesu kristo mwokozi wetu. Naomba kutoa wito kwa viongozi wote wa selikari ya Tanzania kuongoza nchi hii kistarabu kwa sababu Tanzania ni nchi ya watu wastarabu. Watanzania siyo wajinga Wa Tanzania ni wastarabu. Wa Tanzania wamejaa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tuilinde nchi Yetu Tanzania

    Tanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
Back
Top Bottom