tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Disinfectant za Neo Life, wizara ya afya, TBS na TFDA. Mko wapi kulinda afya za wana Tanzania

    Wasalaaam. Mheshikiwa Raisi wa Tanzania, waziri wa afya, na mamlaka husika za afya naomba mpitie hii uzi Leo kuna jamaa yangu kanionyesha bidhaa zake anazouza NeoLife. Ila nimegundua kuwa bidhaa hizi zinaweza kuleta matatizo makubwa ya afya nchini. Kwa sababu gani? Mfano hii bidhaa ya...
  2. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Tyre "Goodyear 185/65/15 effient grip performance" zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wakuu, Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE? Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna! Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear. Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu...
  3. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania - online booking haifunguki....

    Naona website ya ndege yetu "The Wings Of Kilimanjaro" haifunguki hivyo mtu hawezi kufanya booking; Msaada tafadhali?
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa: Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine kukuza Uchumi wa Kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA. Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

    Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka...
  6. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Container za 45ft zinafika Tanzania? Je, kuna magari ya kubeba?

    Shipping container zipo za sizes tofauti kuanzia 60ft 53ft 48ft 45ft 43ft 40ft 35ft 20ft 15ft 10ft 7ft Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya uvuvi ya Kilwa kuleta mapinduzi ya sekta ya uvuvi Tanzania

    Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muonekano rasmi wa Tuzo za Muziki Tanzania 2024

    Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Tanzania Music Awards kutolewa Okt. 19, 2024, kina nani kuibuka Washindi?

    Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Vipengele...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Fananisha jinsi Polisi wa Ujerumani na Tanzania wanavyo shughulikia maandamano ya amani yanayopinga misimamo ya serikali

    Serikali ya Ujerumani inaunga mkono serikali ya Israeli kwa yale yote ambayo Netanyahu anawafanyia waarabu wa Palestina, Lebanon na kwingineko. Serikali ya Ujerumani inaipatia serikali ya Israeli misaada ya silaha na pesa kutekeleza hiyo genocide ya wapalestina. Huo ndiyo msimamo wa serikali ya...
  11. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania): Je, tumefika wakati wa kuwaza serikali moja?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, na wengi hujiuliza, je, kweli tunaelewa mizizi ya matatizo haya? Nikiwa...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

    Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi? Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma. Hapa ni Nairobi kikao cha...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

    Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

    Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC. Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Finland zasaini Hati ya Makubaliano kuendesha mashauriano ya Kisiasa

    Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba...
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

    Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
  17. econonist

    JamiiForums Tanzania Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

    Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania...
  18. Wambandwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania bora ipo sasa

    Hivi majuzi nilikutana na mtu mmoja a kaniambia anaingojea Tanzania Bora Moyo wangu ukasikitika Sana kusikia hiyo kauli. Tanzania Bora IPO sasa Tanzania iliyojaa Amani furaha na utulivu. Tanzania yenye Barabara na iliyojaa shule.vyuo hospital na ulinzi kwa kila mtu Tanzania Bora IPO sasa
  20. H

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokamata mali za serikali ya Tanzania inaposhindwa kesi za madai imepitwa na wakati TLS liangalieni hili

    Habarini, Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho kinawanyima haki wananchi wengi wanaoidai. Kwa maana hiyo sheria hizo zimepitwa na wakati kwani...
Back
Top Bottom