WANACHAMA WA MWANZO WA TANU WALITOKA RUFIJI
Shughuli ya usajili wa TANU ilifanywa na watu watatu wenye kadi zinazoongozana: Julius Nyerere kadi no. 1, Ally Sykes kadi no. 2 na Abdul Sykes kadi no. 3.
Walikubaliana Nyerere akasajili chama kwa msajili kisha wote watatu wakutane nyumbani kwa Ally...