Mapenzi Waliyokuwanayo Watanganyika kwa TANU na Julius Nyerere

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,193
30,533
Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961.

Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa.

Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video utapata picha kamili ya harakati za kudai uhuru na historia kamili ya Mwalimu Nyerere na wale aliokuwanao wakati wa kupigania uhuru.

 
Back
Top Bottom