Kwa hili la TANROADS na Mfugale nadhani Magufuli ameanza kunielewa

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Nilisema wazi, kwamba kuna ajali nyingi sana na watu kufa nchini na sababu kubwa ni uzembe wa TANROADS, wala sio suala la madereva. Ndio kuna ajali zinazotokea kutokana na uzembe wa madereva, lakini si kila ajali inatokana na uzembe wa dereava. Dereva anaweza kuwa mzembe na kusababisha ajali katika sehemu ambayo TANROADS wamefanya uzembe, sehemu ambayo kama TANROADS wasingekuwa wamefanya uzembe, uzembe wa dereva usingesababisha ajali (TANROADS negligence compounded by driver's negligence).

Nilisisitiza sana kwamba Mfugale anafanya matumizi mabaya ya fedha ya kurekebisha barabara ambayo tunachangia kila tunaponunua mafuta (Road Maintenance Fund)

Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

Ndio maana nilisema;

Magufuli atoe amri kwa Mfugale kwamba kuanzia sasa sitaki kusikia ajali imetokea kwenye barabara kuu za lami za TANROADS na chanzo eti kulikuwa na gari ikikwepa shimo dereva aliloona ghafla katikati ya barabara, au daraja limekatika
  1. Kila meneja wa mkoa wa TANROADS, fanya ukaguzi wa kila wakati wa barabara kuu zote za lami na kuhakikisha eidha mashimo yamefukiwa permanently au kwa hatua za muda
  2. Shimo lolote lililofukiwa kwa hatua za muda sehemu hiyo iwekwe alama za tahadhali kwa madereva kuwaonya juu ya uwepo wa shimo kubwa barabarani. Kwa hiyo wakaguzi watembee na alama za onyo kuweka barabarani
  3. KIla mvua kubwa ikinyesha TANROADS wapite kufanya ukaguzi barabarani kuhakikisha hakuna vifusi vilivyuporomokea barabarani au madaraja kuathirika au kuwa na takataka zinazozuia maji.
  4. Kila Mkoa wa TANROADS uwe na kikosi cha kazi cha kurekebisha barabara kwa muda na kiwe on call masaa 24 kwa siku katika siku saba za juma
  5. TANROADS wawe na call centre ya road emergency na watoe namba za simu za emergency au watumie 112 ili madereva wanapoona hali mbaya barabarani wawapigie na watatue hilo tatizo mara moja. Namba hizi zitangazwe kikamili pamoja na kuwekwa kwenye stika za insurance ili watu wazione na kuzijua
Hebu niambieni wana JF, Mfugale akitekeleza haya, ni ajali ngapi na vifo vingapi vitaepushwa? NI gharama kubwa kiasi gani itahitajika kufanya haya?

Je Magufuli amesikia? Angalia hii clip.

Niliwaambia hapa hao mainjinia uchwara wa Tanroad. wakaja na viingereza viingii ohh sijui air humidity, sijui soil pressure!

Watumbuliwe tuone hivyo viingereza vyao butu vitawafikisha wapi!
Mfugale amemdhalilisha sana huyu injinia Andalwisye kwa kumpa sifa za uongo wakati lengo hasa lilikua kumuonyesha Majaliwa kuwa yeye ni nani katika nchi hii na hatikiswi na amri za Waziri Mkuu. Sasa "kidada" cha Kihehe kwa Majaliwa kimemrudi!

Reaction ya Magufuli kwa hili ni zile 50% ambazo huwa nasema Magufuli anafanya vema sana. Amemlinda Waziri Mkuu.

Sasa tuna injia ambaye ni moja ya wataalamu wachache sana wa madaraja nchini kajenga daraja lililodumu kwa wiki mbili!
 
Mie nadhani anajisahau sana kutokana na kujua yuko karibu na Magufuli. Sasa hapo changanya na kale katabia ka Kihehe ka kuwa na "kidada"
Unajua nini, nasubiri Mfugale amwambie Magufuli wale mainjinia 12 bado wapo kwa kuwa ni wataalamu tunawahitaji sana kujenga flyover Dar es Salaam! Si ndio point alitoa kwa Waziri Mkuu? Tena safari hii wapo 12, abakize angalau 6 basi halafu amjibu Magufuli bado wapo wana utaalamu wa pekee.
 
..tumekumbuka shuka wakati jogoo anawika.

..barabara nyingi za nchi hii zimejengwa KISIASA.

..watawala walijua watawapumbaza wananchi kwa kuwaonyesha LAMI.

..barabara nyingi ziko CHINI YA VIWANGO na pia ni HATARI kwa watumiaji.

..kwa mfano, angalia jinsi uokoaji unavyokuwa changamoto kila inapotokea ajali.
 
Nilisema wazi, kwamba kuna ajali nyingi sana na watu kufa nchini na sababu kubwa ni uzembe wa TANROADS, wala sio suala la madereva. Ndio kuna ajali zinazotokea kutokana na uzembe wa madereva, lakini si kila ajali inatokana na uzembe wa dereava. Dereva anaweza kuwa mzembe na kusababisha ajali katika sehemu ambayo TANROADS wamefanya uzembe, sehemu ambayo kama TANROADS wasingekuwa wamefanya uzembe, uzembe wa dereva usingesababisha ajali (TANROADS negligence compounded by driver's negligence).

Nilisisitiza sana kwamba Mfugale anafanya matumizi mabaya ya fedha ya kurekebisha barabara ambayo tunachangia kila tunaponunua mafuta (Road Maintenance Fund)

Ajali iliyoua watu 6 Dodoma: Wanaopaswa kukamatwa na kuwekwa ndani ni Mfugale na Meneja wa Dodoma wa TANROADS Dodoma, sio dereva wa lori

Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

Ndio maana nilisema;

Magufuli atoe amri kwa Mfugale kwamba kuanzia sasa sitaki kusikia ajali imetokea kwenye barabara kuu za lami za TANROADS na chanzo eti kulikuwa na gari ikikwepa shimo dereva aliloona ghafla katikati ya barabara, au daraja limekatika
  1. Kila meneja wa mkoa wa TANROADS, fanya ukaguzi wa kila wakati wa barabara kuu zote za lami na kuhakikisha eidha mashimo yamefukiwa permanently au kwa hatua za muda
  2. Shimo lolote lililofukiwa kwa hatua za muda sehemu hiyo iwekwe alama za tahadhali kwa madereva kuwaonya juu ya uwepo wa shimo kubwa barabarani. Kwa hiyo wakaguzi watembee na alama za onyo kuweka barabarani
  3. KIla mvua kubwa ikinyesha TANROADS wapite kufanya ukaguzi barabarani kuhakikisha hakuna vifusi vilivyuporomokea barabarani au madaraja kuathirika au kuwa na takataka zinazozuia maji.
  4. Kila Mkoa wa TANROADS uwe na kikosi cha kazi cha kurekebisha barabara kwa muda na kiwe on call masaa 24 kwa siku katika siku saba za juma
  5. TANROADS wawe na call centre ya road emergency na watoe namba za simu za emergency au watumie 112 ili madereva wanapoona hali mbaya barabarani wawapigie na watatue hilo tatizo mara moja. Namba hizi zitangazwe kikamili pamoja na kuwekwa kwenye stika za insurance ili watu wazione na kuzijua
Hebu niambieni wana JF, Mfugale akitekeleza haya, ni ajali ngapi na vifo vingapi vitaepushwa? NI gharama kubwa kiasi gani itahitajika kufanya haya?

Je Magufuli amesikia? Angalia hii clip.

Waziri wa Ujenzi na Mtendaji Mkuu wa Tanroad walipaswa wajiuzulu kwani Waziri Mkuu alikwishatoa Maagizo wakapuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..tumekumbuka shuka wakati jogoo anawika.

..barabara nyingi za nchi hii zimejengwa KISIASA.

..watawala walijua watawapumbaza wananchi kwa kuwaonyesha LAMI.

..barabara nyingi ziko CHINI YA VIWANGO na pia ni HATARI kwa watumiaji.

..kwa mfano, angalia jinsi uokoaji unavyokuwa changamoto kila inapotokea ajali.
Mkuu unatuchanganya hapa. Madaraja yanajengwaje kisiasa? Uokoaji changamoto ajali zikitokea?
 
Niliwaambia hapa hao mainjinia uchwara wa Tanroad. wakaja na viingereza viingii ohh sijui air humidity, sijui soil pressure!

Watumbuliwe tuone hivyo viingereza vyao butu vitawafikisha wapi!
U get too upset when people live their lives and express themselves...
Poor minded .......inasikitisha sana
 
Waziri wa Ujenzi na Mtendaji Mkuu wa Tanroad walipaswa wajiuzulu kwani Waziri Mkuu alikwishatoa Maagizo wakapuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Interesting point. Waziri Mkuu alitoa maagizo kwa waziri wa Ujenzi. Waziri wa Ujenzi akatoa maagizo kwa Mfugale. Na Mfugale akagoma kuyatekeleza. Waziri wa Ujenzi akamwambia Mfugale basi ziara inayofuata ya PM nenda wewe mie siendi maana nitakosa la kumjibu.

Mfugale akasema wewe niachie mie, na ndio akamjibu Waziri Mkuu mimi ndio naetekeleza maagizo unayotoa (yaani sio Waziri wa Ujenzi). Kisha akampa sababu kwa nini hajatekeleza. Baada ya wiki mbili daraja likabomoka. PM alikasirika hadi kigugumizi, akashindwa hata kutamka Andalwisye na Mfugale! Magufuli akaingilia kati.
 
Endeleeni kupiga ramli, mwacheni rais afanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom