Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake.

Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa kufanya ukaguzi wa usalama wa madaraja yaliyoko kwenye mkoa wake na kubaini kama kuna daraja linamatatizo hali iliyosababisha daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo linaunganisha mkoa wa Morogoro na Dodoma kuvunjika.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumatano, Machi 4, 2020) baada ya kutembelea eneo hilo na kukagua ukarabati ili kurejesha mawasiliano ya barabara. Waziri Mkuu ameshuhudia mrundikano wa magari na abiria hali ambayo haikumfurahisha.

“Hivi unajua udhahifu wako ni kwa sababu hukufanya ukaguzi kuona kama daraja limejaa mchanga au uchafu ambao umesababisha kipenyo cha kupitisha maji kuwa kidogo na maji yakalazimika kupanda juu hali ambayo ilisababisha daraja hili kusombwa na maji.”

Amesema wakati njia hiyo inarekebishwa itengenezwe njia nyingine ya muda ili kuweza kupitisha magari na kisha Serikali itachukua hatua baada ya kubaini nini kimesababisha.

Ili kuharakisha kazi hiyo inakamilika kwa haraka, Waziri Mkuu ameagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, Katibu Mkuu wa wizara hiyo pamoja na wahandisi wote wa TANROAD mkoa wa Morogoro na Dodoma leo wakutane kwenye eneo la tukio na wahakikishe kuanzia kesho (Alhamisi, Machi 5, 2020) njia hiyo iwe imefunguka.

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema atawasiliana na Mkuu wa Majeshi, Generali Venance Mabeyo ili aweze kupata msaada wa wanajeshi ili waongeze nguvu katika kuhakikisha kwamba mawasialaino yanarejea kwa haraka.

Akiwapa pole madereva na watumiaji wengine wa barabara waliokwama katika eneo hilo, Waziri Mkuu amesema “Nimetumwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuja kuwapa pole na kuwahakikisha kwamba Serikali inafanya kila linalowezekana ili kuifungua barabara hii.”
 
HAPO nilikwama kwenye basi ...nilifanya mawasiliano SUMATRA kuomba waruhusu Mabasi kubadilishana Abiria (kufaulisha)
yanayotokea Moro/Dar yachukue abiria waliotoka Mwanza/Dodoma..na kugeuka... Hawakuzingatia ushauri huu. Japo kuna njia watembea kwa muguu wanavuka. Mabasi mengi walitafutia abiria wao Usafiri ng'ambo kasoro baadhi walioendelea kuhold ikiwemo KIDIA ONE. hapo kuna watoto wadogo wapo tokea jumatatu...wanahitaji msaada.
 
PM kumwajibisha mtendaji ni hatua nzuri. Lipo tatizo vishimo vidogo ambavyo hata kwa dharula vingezibwa kwa garama ndogo moram wakijipanga, vinakaa miezi, vinagarimu uharibifu magari, ajali na vifo. Tanroad waweke hotline ktk mabango yao tuwajuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mfumo ndio tatizo

Kafukuzwa kwa kuwa hajui au hazingatii majukumu yake.

Lakini vile vile mfumo wa zamani wa mkoloni chini ya PWD yaani public works department ni mzuri sana kuliko sasa kwa kutenga kila kilometer 10 kuna kikosi kazi kinacho hudumia kipande cha barabara kila siku kwa mwaka mzima.Laiti wangekuwa na vikosi kazi hatua za mapema zingechukuliwa.

Kwa sasa kweli Magufuli anajenga barabara lakini hakuna Preventive Maintenance schedule, kwa mfano nimeona barabara za lami zikijengwa Dodoma makao makuu lakini barabara hazifagiliwi zimejaa michanga.Ni wazi lifespan ya barabara za mji wa Dodoma zitadumu kwa muda mfupi.

Nakumbuka miaka ya 70 kampuni ya waingereza MOWLEM ilyokuwa inajenga barabara za Dar ilikuwa ina magari ya kusafisha barabara.Kulipunguza kuziba mitaro ya maji wakati wa masika.

Magufuli aanze kuwachukulia hatua wasaidizi wake wanaoshindwa kusafisha barabara za miji ndio wahujumu uchumi.
 
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake.

Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa kufanya ukaguzi wa usalama wa madaraja yaliyoko kwenye mkoa wake na kubaini kama kuna daraja linamatatizo hali iliyosababisha daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo linaunganisha mkoa wa Morogoro na Dodoma kuvunjika.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumatano, Machi 4, 2020) baada ya kutembelea eneo hilo na kukagua ukarabati ili kurejesha mawasiliano ya barabara. Waziri Mkuu ameshuhudia mrundikano wa magari na abiria hali ambayo haikumfurahisha.

“Hivi unajua udhahifu wako ni kwa sababu hukufanya ukaguzi kuona kama daraja limejaa mchanga au uchafu ambao umesababisha kipenyo cha kupitisha maji kuwa kidogo na maji yakalazimika kupanda juu hali ambayo ilisababisha daraja hili kusombwa na maji.”

Amesema wakati njia hiyo inarekebishwa itengenezwe njia nyingine ya muda ili kuweza kupitisha magari na kisha Serikali itachukua hatua baada ya kubaini nini kimesababisha.

Ili kuharakisha kazi hiyo inakamilika kwa haraka, Waziri Mkuu ameagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, Katibu Mkuu wa wizara hiyo pamoja na wahandisi wote wa TANROAD mkoa wa Morogoro na Dodoma leo wakutane kwenye eneo la tukio na wahakikishe kuanzia kesho (Alhamisi, Machi 5, 2020) njia hiyo iwe imefunguka.

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema atawasiliana na Mkuu wa Majeshi, Generali Venance Mabeyo ili aweze kupata msaada wa wanajeshi ili waongeze nguvu katika kuhakikisha kwamba mawasialaino yanarejea kwa haraka.

Akiwapa pole madereva na watumiaji wengine wa barabara waliokwama katika eneo hilo, Waziri Mkuu amesema “Nimetumwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuja kuwapa pole na kuwahakikisha kwamba Serikali inafanya kila linalowezekana ili kuifungua barabara hii.”
Awamu ya tano mameneja wa TANROADS hawagusagwi kabisaaaa,hongera baba majaliwa kwa kudubutu kumgoa huyo wa morogoro.huku geita na kule serengeti ,kahama,mameneja wa TANROADS wamelala barabara ni mbovu mno mno,Ile inayotoka geita kwenda kahama ni mbovu haipitiki na imekaa maji.
 
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake.

Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa kufanya ukaguzi wa usalama wa madaraja yaliyoko kwenye mkoa wake na kubaini kama kuna daraja linamatatizo hali iliyosababisha daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo linaunganisha mkoa wa Morogoro na Dodoma kuvunjika.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumatano, Machi 4, 2020) baada ya kutembelea eneo hilo na kukagua ukarabati ili kurejesha mawasiliano ya barabara. Waziri Mkuu ameshuhudia mrundikano wa magari na abiria hali ambayo haikumfurahisha.

“Hivi unajua udhahifu wako ni kwa sababu hukufanya ukaguzi kuona kama daraja limejaa mchanga au uchafu ambao umesababisha kipenyo cha kupitisha maji kuwa kidogo na maji yakalazimika kupanda juu hali ambayo ilisababisha daraja hili kusombwa na maji.”

Amesema wakati njia hiyo inarekebishwa itengenezwe njia nyingine ya muda ili kuweza kupitisha magari na kisha Serikali itachukua hatua baada ya kubaini nini kimesababisha.

Ili kuharakisha kazi hiyo inakamilika kwa haraka, Waziri Mkuu ameagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, Katibu Mkuu wa wizara hiyo pamoja na wahandisi wote wa TANROAD mkoa wa Morogoro na Dodoma leo wakutane kwenye eneo la tukio na wahakikishe kuanzia kesho (Alhamisi, Machi 5, 2020) njia hiyo iwe imefunguka.

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema atawasiliana na Mkuu wa Majeshi, Generali Venance Mabeyo ili aweze kupata msaada wa wanajeshi ili waongeze nguvu katika kuhakikisha kwamba mawasialaino yanarejea kwa haraka.

Akiwapa pole madereva na watumiaji wengine wa barabara waliokwama katika eneo hilo, Waziri Mkuu amesema “Nimetumwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuja kuwapa pole na kuwahakikisha kwamba Serikali inafanya kila linalowezekana ili kuifungua barabara hii.”
Awamu ya tano mameneja wa TANROADS hawagusagwi kabisaaaa,hongera baba majaliwa kwa kudubutu kumngoa huyo wa morogoro.huku geita na kule serengeti ,kahama,mameneja wa TANROADS wamelala barabara ni mbovu mno mno,Ile inayotoka geita kwenda kahama ni mbovu haipitiki na imekaa maji.
 
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake.

Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa kufanya ukaguzi wa usalama wa madaraja yaliyoko kwenye mkoa wake na kubaini kama kuna daraja linamatatizo hali iliyosababisha daraja la Kiyegeya lililopo eneo la Gairo ambalo linaunganisha mkoa wa Morogoro na Dodoma kuvunjika.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo(Jumatano, Machi 4, 2020) baada ya kutembelea eneo hilo na kukagua ukarabati ili kurejesha mawasiliano ya barabara. Waziri Mkuu ameshuhudia mrundikano wa magari na abiria hali ambayo haikumfurahisha.

“Hivi unajua udhahifu wako ni kwa sababu hukufanya ukaguzi kuona kama daraja limejaa mchanga au uchafu ambao umesababisha kipenyo cha kupitisha maji kuwa kidogo na maji yakalazimika kupanda juu hali ambayo ilisababisha daraja hili kusombwa na maji.”

Amesema wakati njia hiyo inarekebishwa itengenezwe njia nyingine ya muda ili kuweza kupitisha magari na kisha Serikali itachukua hatua baada ya kubaini nini kimesababisha.

Ili kuharakisha kazi hiyo inakamilika kwa haraka, Waziri Mkuu ameagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe, Katibu Mkuu wa wizara hiyo pamoja na wahandisi wote wa TANROAD mkoa wa Morogoro na Dodoma leo wakutane kwenye eneo la tukio na wahakikishe kuanzia kesho (Alhamisi, Machi 5, 2020) njia hiyo iwe imefunguka.

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema atawasiliana na Mkuu wa Majeshi, Generali Venance Mabeyo ili aweze kupata msaada wa wanajeshi ili waongeze nguvu katika kuhakikisha kwamba mawasialaino yanarejea kwa haraka.

Akiwapa pole madereva na watumiaji wengine wa barabara waliokwama katika eneo hilo, Waziri Mkuu amesema “Nimetumwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuja kuwapa pole na kuwahakikisha kwamba Serikali inafanya kila linalowezekana ili kuifungua barabara hii.”
Ni nani aliyesimamia kandarasi na ujenzi wa daraja hilo lililobomoshwa na mtiririko wa maji ya mvua?
 
... hakuna Preventive Maintenance schedule, kwa mfano nimeona barabara za lami zikijengwa Dodoma makao makuu lakini barabara hazifagiliwi zimejaa michanga.Ni wazi lifespan ya barabara za mji wa Dodoma zitadumu kwa muda mfupi.
...
... hao Tanroads sijui TARURA wana uzembe fulani wa wazi. Kwa mfano utakuta barabara lami imeanza kuwa na bumps wakijisikia kufanya hizo maintenance zao, wanaleta migreda ya kukwangua lami then wanaziba barabara tena wanafanya timing ya rush-hours then wanakwangua lami zoezi linaloweza kuchukua wiki kadhaa kwa kakipande kadogo tu huku watumia barabara wakiteseka kwa foleni.

Wakishamaliza kukwangua lami yao wanaiacha barabara katika hali ya ubovu kuliko kabla ya kukwanguliwa kwa wiki kadhaa; nadhani ndio wanaenda kutangaza tenda ya ku-supply lami! Huwa najiuliza, haiwezekani materials zikaandaliwa kwanza then zoezi la kuondoa lami ya zamani likianza kazi inapigwa mfululizo hadi mwisho? Kwanini waondoe lami halafu waache barabara katika hali ya ubovu kwa muda mrefu? Hili nalo ni jipu la kuangalia kwa makini.
 
HAPO nilikwama kwenye basi ...nilifanya mawasiliano TANROADs kuomba waruhusu Mabasi kubadilishana Abiria (kufaulisha)
yanayotokea Moro/Dar yachukue abiria waliotoka Mwanza/Dodoma..na kugeuka... Hawakuzingatia ushauri huu. Japo kuna njia watembea kwa muguu wanavuka. Mabasi mengi walitafutia abiria wao Usafiri ng'ambo kasoro baadhi walioendelea kuhold ikiwemo KIDIA ONE. hapo kuna watoto wadogo wapo tokea jumatatu...wanahitaji msaada.
Sasa mkuu ulidhania hilo wazo lako, lingeweza kutekelezeka kweli? Kwa ghafla tu,? Huku ni makampuni tofauti tofauti?? Yaani nimepakiza abiria wangu naenda MWANZA, nafika hapo unaniambia niwashushe, hapo nipakize wanaotoka bukoba nirudi dar? Wale wa kwangu, wavuke daraja, wakatafutiwe la mwanza?? Wakati kuna njia mbadala, hili hilo lifanikiwe ni mlolongo mrefu sana, hizo sio daladala mkuu!!
 
PM kumwajibisha mtendaji ni hatua nzuri. Lipo tatizo vishimo vidogo ambavyo hata kwa dharula vingezibwa kwa garama ndogo moram wakijipanga, vinakaa miezi, vinagarimu uharibifu magari, ajali na vifo. Tanroad waweke hotline ktk mabango yao tuwajuze.

Sent using Jamii Forums mobile app

Most likely huyuni mbuzi wa kafara.Inanikumbusha issue ya Muhumbili MRI na Xraymbovu mkuu wa taasisi akawajibishwa facts zilipowekwa wazi tatizo lilikuwa wizarani. Sasa huyu wa Tanroda kwa jinsi bajeti zinavyoombwa na mwenendo wa zina vyotoka nina mashaka makubwa kama kweli 100%ni uzembe wake. Tusubiri.
 
Back
Top Bottom