tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Weighbridge Operator (2 Posts) at TANROADS

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. The Regional Manager-TANROADS Mtwara on behalf of the Chief Executive...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kibamba hivi TANROADS na TARURA zipo?

    Hivi hili jimbo liko Dar au nje ya Dar?! Make si kwa ubovu wa barabara. Jimbo zima lami ni changamoto. Kuna barabara zimetengwa kwa ajili ya TANROADS na zina connections nzuri sana ila kuzijenga sasa imekuwa changamoto. Mfano barabara inayotokea mbezi mwisho kuunganisha mpaka bunju kupitia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuambiwa nichague kati ya Vanguard na Harrier ili ku compensate kama malipo ya kazi

    Kama nilivyowaomba ushauri kwenye post yangu ya 8/1/2021 nikitakiwa kuchagua kati ya gari tajwa hapo juu na kampuni moja ya ujenzi kama fidia ya deni nililowadai kwa muda mrefu bila malipo. Nawashukuru sana wana Jf na members wa forum hii kwa ujumla kwa mchango wenu wa ushauri , maoni na mawazo...
  4. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Machinga mentality: TANROADS mpo? Miundombinu ya serikali sasa inaingiliwa!

    Sipingi biashara huria kakini this is too much! Hapo ni Mbezi Beach Goig, Bagamoyo Road. Miundombinu ya barabara inapogeuzwa kuwa na matangazo ya watu binafsi, hii ndio laisszes faire yaani machinga mentality kushamiri ndani ya wananchi. Mitaro inazibwa bila aibu. Taka zinatupwa barabarani ...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

    Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
  6. bestboy

    JamiiForums Tanzania Taa za kuongoza magari Chang'ombe Polisi zifanyiwe marekebisho

    Wasimamizi wa barabara kama ni TARURA au TANROAD tunaomba mzifanyie setting upya taa za barabarani Changombe polisi kwani imekuwa kero kwa watu wanaotoka Serengeti kuelekea Temeke. Barabara inayotokea maduka mawili inahudumia magari mengi ambayo yanaelekea Temeke au Tandika laakini zinapofika...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Aliyependekeza ufupisho wa Tanzania National Road Agency kuwa TANROADS alifikiria nini?

    Tanzania National Roads Agency (TANROADS) The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works, Transport and Communications, established under section 3(1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. Bado sijapata...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Civil Technician at TANROADS

    TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainland’s trunk and regional roads network. Its primary functions include the management of maintenance...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Office Assistant (2 Posts) at TANROADS

    THE REGIONAL MANAGER, TANROADS – NJOMBE is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainland’s Trunk and Regional Roads Network. Its primary functions include the management and development works, operations of the network, axle load control, the implementation of road safety...
  10. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 7 New Form Four And Above Government Jobs At TANROADS (NJOMBE), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE:
  11. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania TANROADS hii barabara ya kuingia na kutoka Mawasiliano sijawaelewa

    Leo nimepanda daladala natokea Kimara kwenda Mlimani City. Sijapita njia hii siku nyingi kwa daladala. Nashangaa ili kuingia Mawasiliano Stend imebidi twende hadi Mawasiliano Tower. Kurudi ili tuendelee na safari imebidi kwenda tena hadi Kijazi tuzunguke round about. Huu ni mzunguko mrefu...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kufa mtu Lugalo: TANROADS acheni hizo

    Barabara ya Mwenge-Lugalo-Mbezi Beach leo jioni ilikuwa balaa. Kuna mkandarasi anafanya kazi mchana hadi jioni NA KUZIBA lane moja. Hapo ndio naona hii ni kichaa kabisa, watafanyaje kazi wakati wa maximum traffic? Matokeo yake ni magari kuxiba njia zote kabisa. TANROADS tumieni akili ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanroads mkoa wa Pwani zibeni viraka barabarani

    Hivi Ni kwanini Tanroads mkoa wa Pwani ni Ni wazembe kiasi hiki? Kwa mfano ukipita barabara ya Bagamoyo kama unaelekea mikoa ya Kaskazini wamekata viraka ili wavizibe ila Ni kama wiki ya pili sasa vimeachwa hivyo hivyo. Hi inatusababishia usumbufu Sana na uharibifu wa magari.
  14. RRONDO

    JamiiForums Tanzania TANROADS rekebisheni traffic lights za Aga Khan junction kabla hazijasabanisha ajali

    TANROADS tafadhalini rekebisheni hizo taa. Karibu wiki sasa naona taa zinaruhusu huku na huku kwa wakati mmoja. Naweka picha inayoonesha gari kutoka Agakhan hospital zimeruhusiwa huku gari zinatoka selander kuingia upanga nazo zimeruhusiwa.
  15. COMOTANG

    JamiiForums Tanzania TAA na TANROADS lini mtatulipa fidia wadau wa Msalato?

    Habari za leo, napenda kukuulizeni TAA & TANROADS Ni lini MTATULIPA FIDIA wadau tuliofanyiwa uthamini toka mwaka 2018 ili kupisha ujenzi wa UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO?
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Surveyor at TANROADS – Mara

    Ref. No. AB.276/322/01 /28 TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi -Autonomous Agency under the Ministry of Works and Transport established on July 1,2000 and is responsible for the day-to- day management of the Tanzania Mainland’s Trunk and Regional Roads Network. Its primary...
  17. Ushimen

    JamiiForums Tanzania New government jobs at tanroads (mara region), april 2021- various posts

    1. POSITION TITLE: OFFICE SECRETARY (1 POST). Educational/ Professional Qualifications: ● A National form IV/VI certificate. ● Must have a NTA level 6 Certificate in secretarial Services or equivelent from any College recognized by NACTE. ● Work Experience: He/she must have at least three (3)...
  18. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities At TANROADS Kigoma Region, April 2021- (5 Various Posts)

    1. JOB TITLE: LABORATORY ASSISTANT (ONE) 1 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES ● Collection of material samples from various construction sites. ● Investigation of borrow-pits ● Making sure that laboratory equipments are well taken care of. ● Make timely reports on equipments that need repair...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS, vipi ile kasi ya kumalizia barabara kuingia stand kuu ya Mbezi Luis na njia sita Kimara hadi Kibaha? Mbona hakuna kinachoendelea?

    TANROADS, mbona barabara ya kuingia stand ya mabasi Mbezi Luis progress yake ni zero? Au ndo imeyeyuka hivyo? Je, hii ya njia sita mbona pia hakuna kinachoendelea?
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TANROADS sasa mkae mguu sawa

    Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais. Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali...
Back
Top Bottom