tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine. Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na kujihusisha kwa muda wa miaka mwingi. Nina familia ya mke na watoto 3,sasa nimekaa nikafikiri nakuona nihamie...
  2. Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
  3. Shamba lenye miti ya mitiki linauzwa ekari 6 tanga Korogwe

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
  4. R

    GE2025 Mjumbe Baraza Kuu Umoja wa Vijana UVCCM, Shamira Mshangama amechukua fomu kuwania ubunge viti maalumu Tanga

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shamira Mshangama amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga. Shamira amechukua na kujeresha fomu hiyo Julai 2, 2025 kwa Katibu wa UVCCM Mkoa wa Tanga, Ibrahim Kandumila katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga...
  5. PreGE2025 Lovenes Sarungi, ajitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lovenes Sarungi, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga, akisisitiza dhamira yake ya kuwatumikia vijana na kulitumikia taifa kwa ujumla. Sarungi, ambaye ni mtumishi wa umma na mkazi wa Mkinga, amesema...
  6. PreGE2025 CCM Tanga yatishia kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na rushwa Uchaguzi Mkuu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimetangaza kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na vitendo vya rushwa katika harakati za kuwania nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza wakati akikagua ukarabati wa...
  7. N

    Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  8. Licha ya Mbeya na Tanga kuwa miongoni mwa Mikoa Inayoendesha Uchumi wa Tanzania ila Imeshindwa Kuvutia Wawekezaji Kwa Wingi.Shida nini?

    Hii ni mada ambayo imewekwa na The Citizen wakinukuu na kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka BoT. Licha ya kuwa miongoni mwa majiji sita bora kwa uzalishaji wa kiuchumi hapa Tanzania, Mbeya na Tanga zinasuasua kwa kiasi kikubwa katika kuvutia miradi ya uwekezaji, mitaji, na ajira. Hali hii...
  9. Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  10. Godoro kutoka mombasa kuja tanga

    Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
  11. Tanga Yazindua Miradi 4 Mikubwa ya Vijana Kupitia Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili

    Mnamo tarehe 16 Mei 2025, Jiji la Tanga limeandika historia kwa kuzindua miradi minne mikubwa ya maendeleo ya vijana chini ya Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili. Uzinduzi huu umefanyika katika Hoteli ya Regal Naviera na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 180 wakiwemo viongozi wa serikali...
  12. Final CRDB cup huenda ikawa Tanga

    Hii ni kutokana na matengenezo makubwa ya uwanja wa Mkapa na ule wa amaan Kila baada ya mechi wanaufunga kwa matengenezo (wanatunza kama wazee wa kichaga na pick up ya Datsun) So final ni Tanga
  13. W

    PreGE2025 Tanga: Viongozi 10 na wanachama 78 wajiondoa CHADEMA, msimamo wa kutotaja wanapokwenda unaendelea

    Viongozi 10 na wanachama 78 wa CHADEMA mkoa wa Tanga wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho, huku hawaelezi wanakwenda kujiunga na chama gani licha ya kuendelea kuwepo kwenue siasa. Viongozi na wanachama hao walitangaza uamuzi huo leo Mei 18, 2025. Viongozi hao ni Katibu Bawacha Mkoa wa...
  14. Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  15. F

    Subject: Exciting Investment Opportunity in Strategic Airbnb Developments – Tanga & Dodoma

    Dear Thinker's I hope this message finds you well. I’m reaching out to present a compelling investment opportunity in the booming short-term rental market. We are launching two exciting real estate development projects designed specifically for the Airbnb model, located in two of Tanzania’s...
  16. Kunani kila tajiri anapeleka bus ruti ya Tanga. Au Tanga vigagula vyenu vilikufa, New force ndani ya Tanga

    Zamani ruti ya Tanga ilikuwa ngumu kama ilivyo ruti ya Dar kusini kama si mzaliwa wa huko utoboi. Alianza Abood, anakuja Shabiby na sasa New force nae anapeleka chuma Tanga Dar Tanga. Hizi ruti za mabus zamani ilikuwa kama we ni WA kaskazini ni huko huko ukienda ruti ya Dar Tunduma wakinga na...
  17. G

    Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
  18. R

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega fuatilia kinachofanyika barabara ya Tanga -Pangani. Mkandarasi zaidi ya siku 3 ameondoka site

    Kama alivyosema MBUNGE Ummy Mwalimu kuwa mkandarasi amepewa 15 billion, kazi ianze. kweli amefika NA KUANZA KIPANDE CHA cha tanga to Kibaoni, amemwaga vifusi kadhaa akashindiria kidogo na kuondoka. Naamini amezuga kuwa yuko site kumbe kesha lala mbele! FUATILIA
  19. For Sale: 8.4 ACRES COMMERCIAL BEACH-LAND, TSHS.1.3 BILLION AT MKWAJA, TANGA.

    ...
  20. Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…