tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  2. S

    DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
  3. R

    LATRA Tanga, RTO Tanga, nauli ya daladala ni kiasi gani kwa Tanga?

    Sasa daladala zinatoza Tsh 800. Zilipanda na kuwa Tsh 600, baada ya siku mbili wamepandisha mpaka Tsh 800. LATRA Tanga, bei elekezi ni ipi?
  4. BARDIZBAH

    Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  5. Funa the Great

    Kwanini utembelee Tanga?

    Unapopanga mipango yako ya safari basi mkoa wa Tanga usiache kuuweka kwenye orodha yako. Mkoa wa Tanga umejaaliwa kuwa na mandhari mazuri na yenye kuvutia watembezi wengi wanaotembelea eneo hilo. Kuna vivutio mbalimbali vya utalii vyenye kukufanya usijutie maamuzi yako ya kuvitembelea vivutio...
  6. makame clan

    Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

    Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection. Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
  7. Mohamed Said

    Mtaa wa Mwalimu Kihere Tanga

    MTAA WA MWALIMU KIHERE TANGA Mwenye historia ya Mwalimu Kihere atuwekee hapa. ''Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz Mafungo asafiri kwenda Tanga na kupata fedha zaidi kutoka huko. Mwalimu Kihere alikuwa tayari amekusanya fedha hizo na alikuwa...
  8. Loudspeaker

    Natafuta muwekezaji wa Golden Feldspar itokayo Tanga

    Hello, Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya. Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na mengine. Sasa nilikuwa nina mgodi wangu mmoja wa Golden Feldspar ambao survey yake ime turn to...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa Zilizopo katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Biashara, Kilimo, Viwanda

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
  10. M

    Dalali vyumba vya kupanga Tanga anahitajika haraka sana.

    Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM. Ova.
  11. BARD AI

    Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
  12. benzemah

    Tanga: Watuhumiwa 26 wakamatwa kwa kuvamia na kudhuru Hoteli ya Mambo View

    Jeshi la Polisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 26 na kufikishwa mahakamani Oktoba 26, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwepo; unyang'anyi wa kutumia nguvu na shambulio la kudhuru mili dhidi...
  13. Lycaon pictus

    Reli ya Usambara na vita ya Tanga

    Reli ya Usambara, Moshi-Tanga ndiyo reli ya kwanza kujengwa ndani ya Tanganyika. Ilijengwa miaka ya 1890's. Reli hiyo ilianza kujengwa na kampuni binafsi na baadaye ikachukuliwa na serikali ambayo iliimalizia hadi Arusha. Lengo kuu lilikuwa kuunganisha bandari ya Tanga na eneo la kaskazini...
  14. mfichuamambo

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  15. BARD AI

    Tahadhari TMA: Dar, Pwani, Tanga, Unguja, Pemba na Mafia kukumbwa na Mvua Kubwa leo

    Kama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023. TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke...
  16. peno hasegawa

    Jiji la Tanga Kuna vyuo vya Afya vidivyo na sifa kama uyoga baada ya Ummy mwalimu kuwa waziri wa Afya kulikoni?

    Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki. Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
  17. kyagata

    Jiji la Tanga watu wanalala sana

    Imagine sasa hivi ni saa 10 alfajiri, hakuna hata mishe mishe za bodaboda huko nje, yaani mji umetulia tuliii tofauti na mikoa mingine kama Dar, Arusha na Mwanza.
  18. Kurunzi

    Sasa ni wakati Sahihi wa Simba na Yanga Kuunganisha Silaha, Kupambana na Waarabu

    Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee. Sasa ni...
  19. Mama Mwana

    Ummy Mwalimu, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Diwani Mwinjanga na wote wanaohusika saidieni hawa vijana

    kuna vijana walichaguliwa kujifunza kilimo cha kisasa,wakiwa chini ya halmashauri ya jiji la Tanga na washirika wao Botna na SUGECO. Saidieni hao vijana wapate stahiki zao wana akiba ya kiasi cha Tsh. million nane benki, wameachiwa mradi wauendeshe ajabu wanachosemea wameomba kutoa pesa...
Back
Top Bottom