tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tanga,kibaha, mbeya, morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha?

    Kati ya Tanga, mbeya,kibaha , morogoro na songea MJI gani una gharama ndogo za maisha? Haswa mzunguko wa Hela Upatikanaji wa misosi Utulivu Huduma za jamii Kwa anae jitafuta
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  3. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  4. R

    JamiiForums Tanzania RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  5. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Kila mtu Tanga anamiliki TZS3,204,244 kwa mwaka

    === Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali...
  6. Bibianna

    JamiiForums Tanzania TASAF: Rais Samia apeleka TZS27bn Tanga kusaidia masikini na wasiojiweza pesa hii sio mkopo wala deni hawatalazimika kuirejesha hapo baadae

    Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025, mpango huu ulikuwa ukitekelezwa katika vijiji | mitaa 1,039 kutoka awali ya vijiji | mitaa 656...
  7. Bibianna

    JamiiForums Tanzania TANGA: Rais Samia atoa TZS4bn kwaajili ya ujenzi wa Sports Academy

    Kituo cha Michezo cha TFF Mnyanjani, Tanga: Kituo Kikuu cha Kukuza Vipaji vya Vijana Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewekeza kiasi cha shilingi 4,513,000,000.00 katika ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo kinachojengwa eneo la Mnyanjani, Jiji la...
  8. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Dkt Batilda: Bomba la mafuta la shilingi trilioni 12.5 la Uganda Tanga limelipa fidia ya TZS9.4 watu 800 wanaajira za kudumu Tanga mambo ni safi

    Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
  9. Bibianna

    JamiiForums Tanzania MV TANGA yakarabatiwa kwa TZS1.118 Bilioni

    Ukarabati wa MV Tanga Kuimarisha Huduma za Usafiri Baharini kwa Wananchi. Akiongea na wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya dhati ya kuboresha huduma za usafiri kwa wananchi wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Moto Kiwanda cha Mafuta na Vipodozi cha Mamujee, Tanga

    Kampuni ya usambazaji wa mafuta ya GBP, iliyopo jijini Tanga, imeungana na vyombo vingine vya usalama, likiwemo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika juhudi za kukabiliana na moto mkubwa uliolipuka na kuendelea kuteketeza Kiwanda cha Mafuta na Vipodozi cha Mamujee. Moto huo ulianza kuwaka usiku...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanga linawasaka waliotelekeza boti lenye shehena ya dawa za kulevya aina ya Mirungi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  12. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mradi unaolenga kuboresha huduma ya maji Tanga Jiji, Muheza, Pangani na Mkinga, kunufaisha wakazi 555,000

    Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi Kilimanjaro na Tanga, watakiwa kupunguza makundi sogozi 'WhatsApp'

    Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, wametakiwa kupunguza makundi sogezi 'Whats App' katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kuepuka kuvujisha taarifa za siri kwa kutuma sehemu isiyostahili. Mbali na hilo pia waratibu hao na wasimamizi...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya

    Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya, Ukarabati wa hospitali tatu (3) na Ukarabati na. umaliziaji wa hospitali moja (1). Wilaya zilizonufaika ni Jiji la Tanga, Wilaya ya Handeni (kwa halmashauri ya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya sekta ya afya katika mkoa wa Tanga

    1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92. 2. Zahanati zimeongezeka kutoka 287 hadi 361 sawa na ongezeko la zahanati 74. 3. Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 31 hadi 46...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Miili minne yaokotwa kichakani Handeni, miwili ikitambulika

    Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga. Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na uchunguzi uliofanyika, ulibainika kuwa ni wa Benard Wilson Masaka, Mgogo (43), Mfanyabiashara wa nyama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA walivyoshuka na chopa Tanga

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atoa Bilioni 16.696 kuboresha Miundombinu ya Elimu Tanga

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025, imetoa jumla ya shilingi bilioni 16.696 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Tanga. Kati ya fedha hizo, jumla ya...
  20. kibovu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiuliza ule msemo wa Tanga waja Leo waliutoa wapi? Mbona watoto wazr hatuwaoni?

    Igweeeeeee, Wakuuu nipo kikazi Tanga kutokea Jiji la Dar es salaam. Wakuuu Mimi ni Mla Bata Kila ninapoenda sehem ni lazima nihuzurie viwanja vya Wala Bata . Wakuuu kiufupi Tanga madem wakali hakuna.Dodoma nimetembea I appreciate that place,Kahama shinyanga ,Mbeya Singida Kuna Warembo. Jiji...
Back
Top Bottom