Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.
Mimi naomba kusema wazi kuwa mimi si mtaalamu wa Mambo.ya energy wala mtaalamu wa mambo ya kiuchumi.
Lakini najiuliza ukanda wetu wa east africa kwa uchumi wake huu inahitaji refinery mbili, tena zilizojirani zenye thamani ya Dola bil20 kila moja ili iweje, au ndo mambo ya kitanzania jirani...
My Take
Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥
Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇
https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la moto lililotokea Julai 29, 2026 majira ya saa 7:35 mchana katika nyumba za Polisi Msambweni zilizopo eneo la Mapinduzi “A”, Kata ya Ngamiani Kusini, Wilaya ya Tanga.
Moto huo umeteketeza baadhi ya mali zilizokuwa ndani ya nyumba...
Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza nyumba za askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Msambweni, Mapinduzi A, Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga.
Moto huo umeteketeza baadhi ya mali mbalimbali zilizokuwa ndani ya nyumba hizo, huku thamani ya mali zilizoharibiwa ikiwa...
Dkt. MABULA: Ujenzi wa ghati kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Tanga umezingatia uhifadhi wa mazingira ya bahari na viumbe hai
Mradi wa EACOP umejenga ghati (jetty) la urefu wa takribani kilomita 2 Chongoleani, Tanga, Tanzania.
Katika maelezo yake Dkt...
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6.
Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
Anonymous
Thread
bima
hatuna
kiwanda
likizo
mikataba
mkubwa
saruji
tanga
uchungu
wafanyakazi
Jamani kiwanja ila kiwe bei nzuri location sio shida kwangu alimradi pawe panafikika na umeme na maji yawepo..
Jamani mi si muwekezaji nataka kubadili mazngira tuu nijinge ata kibanda cha rum 3
Hata kama ni pesa. Hii ni zaidi ya kujidhalilisha
https://vm.tiktok.com/ZSXgdE7Jw/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Sisi ni vibarua wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Idara ya Mazingira na Bustani, tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuchelewa kwa malipo ya mishahara.
Kwa muda sasa, vibarua wa jiji tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya mishahara kuchelewa kulipwa. Mshahara wetu ni Shilingi 150,000 kwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
halmashauri ya jiji
jiji
jiji la tanga
kero
mkurugenzi
mkurugenzi wa halmashauri
tanga
vibarua
yangu
Mtumishi ajira mpya ya Februari 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, tangu tumejiriwa tumepewa pesa robo tu ya kujikimu kila tukiulizia pesa yetu iliyobakia tunaambiwa kwamba serikali haijatoa fungu letu bado, hivyo hata hiyo robo tumepewa kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya...
Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange?
Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii?
Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu...
30 June 2026
Kigali, Rwanda
Rwanda imetanua wigo wake wa kupokea shehena ya mafuta yake, Na kwa mara ya kwanza mzigo wa tani 40,000 za bidhaa za petroli kupitia bandari ya Tanga
Mafuta hayo yaliyosafishwa kutoka nchini Oman yatafika mwisho wa mwezi Julai 2026, kupitia bandari ya Tanga...
MADAI YA KIFO KWENYE KITUO CHA AFYA NGAMIANI
Tanga, Julai 10, 2026
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, imeiona taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu kifo cha Bi. Veronica Patrick Nkwabi (31) kilichotokea Juni 24, 2026 kwenye Kituo cha Afya Ngamiani, Halmashauri ya Jiji la Tanga...
Waziri wa Afya, Mchengerwa tunaomba fuatilia kwa ukaribu Hospitali ya Ngamiani - Tanga kuna uzembe flani wa wauguzi, tarehe 24/6/2026 kuna mgonjwa alikutwa amefia chooni bila ya wauguzi kujua, asubuhi ya tarehe hiyo ndugu wa marehemu alikwenda hospitali kumpelekea chai mgonjwa wake ila hakumkuta...
Kama dangote ameamua kwenda kujenga crude oil refinery lamu ni sawa kama nchi hatujashindwa bado tutafute mwekezaji mwingine wa kujenga crude oil refinery Tanga hatujashindwa bado
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hali iliyomfanya kuona hana sababu ya kuendelea kuwa upande wa...
Natoa wito Kwa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Geita kuwa Jiji kwani Ina vigezo stahiki.
Ukiacha vigezo vya ujumla lakini Geita imekishi vigezo muhimu zaidi vya Mapato ya ndani ambapo Kwa mwaka wa fedha 2015/26 imefanikiwa kukusanya zaidi ya Bilioni 27.Mapato haya ni zaidi ya Majiji ya...
Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu?
Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo:
Maisha nje ya kazi (quality of life).
Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara.
Utulivu na usalama wa mazingira.
Upatikanaji wa huduma za...
Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia.
Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani ya muda mfupi toka afariki Dunia usafiri umekufa kabisa Hadi Leo, hakuna usafiri wa Treni ya Abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.