tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega fuatilia kinachofanyika barabara ya Tanga -Pangani. Mkandarasi zaidi ya siku 3 ameondoka site

    Kama alivyosema MBUNGE Ummy Mwalimu kuwa mkandarasi amepewa 15 billion, kazi ianze. kweli amefika NA KUANZA KIPANDE CHA cha tanga to Kibaoni, amemwaga vifusi kadhaa akashindiria kidogo na kuondoka. Naamini amezuga kuwa yuko site kumbe kesha lala mbele! FUATILIA
  2. dalalitz

    JamiiForums Tanzania For Sale: 8.4 ACRES COMMERCIAL BEACH-LAND, TSHS.1.3 BILLION AT MKWAJA, TANGA.

    ...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
  4. Luis 505

    JamiiForums Tanzania EACOP: Kwanini wasingetanua reli ya kati mpaka Uganda badala ya kuchimba bomba la Mafuta (Hoima - Tanga)??

    Eti wakuu, kwani si bora wangeirefusha reli ya kati kutoka Kigoma (au pahala pengine pa karibu zaidi) mpaka Uganda kuliko kuchimba bomba la gharama kubwa kiasi kile. Mafuta yakiisha Uganda hilo bomba litakuwa na kazi gani nyingine?? Mafuta yakiisha reli still inaweza kusafirisha watu na bidhaa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania TMA twambie kwanini mpaka sasa Tanga hakuna mvua ya maana ya masika

    Tunaingia mwezi wa nne sasa. There is nothing at all! Hakuna.mbua kabisa, ni manyunyu manyunyu tu. Tatizo ni; nini? kwa utabiri wenu?
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga aonya wanaotaka kuvuruga amani mkoani humo, asema wainge kwa adabu zao

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  8. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tanga: Chama cha walimu walilia posho za walimu wastaafu

    Chama cha Walimu wilayani Pangani mkoani Tanga kimeiomba serikali kulipa malimbikizo ya madeni ya walimu ikiwemo posho za kujikimu, mishahara sambamba na malimbikizo ya madai ya walimu wastaafu.
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania ivutie wawekezaji wa Oil Refinery zisizopungua tano huko Tanga bomba la mafuta kutoka Uganda linapoishia

    Ujenzi wa bomba la mafuta unaendelea la kutoka uganda mpaka Tanga, fursa kama hii muhim ni vizuri serikali ikavutia waekezaji kama watano waje wajenge oil refinery tano eneo ambalo bomba la mafuta kutoka uganda linapoishia Faida ya oil refinery Bitumen inayotumika kutengeneza lami itazalishwa...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania

    Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Wananchi Bungu, Korogwe wamuombea Dua Rais Samia

    Wananchi wa Bungu wilayani Korogwe mkoani Tanga wamefanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya uongozi wake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: "Tutazungumza na media za Tanga, nyingine zina mambo yao"

    Hizo Media nyingine unazosema zimechafuka ndio hizo hizo huzitumia kuhamasisha football ya Nchi hii,na ndizo zilizokutambulisha ww kwa jamii. Unachofanya ni Ubaguzi wa Wazi Wazi kama kiongozi Mkuu wa football nchini na kwa hili ushapoteza 'UHALALI'wa kuendelea kuongoza TFF. Sioni tena kama...
  15. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
  16. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

    Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
  17. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Yaandaa Futari Tanga na Zanzibar Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii

    Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson Kishanda wakifuturu pamoja wakati wa hafla ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan kama sehemu ya kuoneshaa...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga

    Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani, katika Mkoa wa Tanga. Akiongea kabla...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanga: Zaidi ya wananchi 2000 wa Bondo waliochomewa nyumba zao, waishi chini ya miti

    Ikiwa siku chache zimepita tangu tulivyoripoti taarifa kuhusu wananchi wa Bondo, Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga kulia kukosa makazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto na kubomolewa kwa kuambiwa wamevamia hifadhi. Inakadiriwa kuwa zaidi ya kaya 2,600 zimeachwa bila makazi, mali zao kuharibiwa, na...
Back
Top Bottom