tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Haya ninayoyashuhudia hapa Tanga sioni kama kuna mwanaume wa mkoa huu atajitokeza tarehe 29 kuandamana

    Nipo Tanga kwenye shughuli flani. Kwanza huu mkoa wao kila siku ni burudani tu,hawana stress za maisha kabisa. Kilichonivunja nguvu kabisa ni hiki,huku Tanga mziki wao mkubwa ni taarabu. Sasa nimeshangaa nimeenda sehemu flani nikakuta kuna shughuli na mziki unaopigwa ni taarabu,nimeshuhudia...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Tanga mjini awaahidi wananchi kuwaunganisha na wachina endapo wakimchagua

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu pwani hasa hasa wa Tanga wanapenda kulaani wenzao for no reason? Unafiki wa dini usipime

    Watu wa Tanga wananiacha hoi sana sijui wanashida gani hasa hawa watu aisee mimo nimewa define neshindwa kuwaelewa ni watu ambao kutaka kuwatolea laana wenzio ni dakika mbilo tu yaani mkipishana kauli tu anakuambia nitakulaani yaani umlaani mwenzio kwani wewe ni Mwenyezimungu? Yaani neno laana...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Haya ndiyo madudu yanayofanywa na Vigogo wa Afya Halmashauri ya Mji Korogwe, Tanga, Serikali ichukue hatua

    1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe. 3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

    Watu wa pwani hasa hasa Tanga badilikeni mnanikera kwa hizo tabia zenu mbona mnapenda kuleta tabia za hovyo hivyo? Nyie watu hamuoni haya mbona mnazikosea imani zenu? Na hizo tabia zenu acheni mnakera Sana sijawahi kuona watu wenye roho za kwanini na mbaya kama watu wa pwani na nyie...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ni uonevu mkubwa, angalia data za Tanga kwa Ummy Mwalimu

    Whatever the reason, hii ina kasoro kubwa FAIRNESS IKO WAPI. HAWA WANAFANYIZIANA WENYEWE KWA WENYEWE HALAFU CHADEMA UINGIE UCHAGUZI BILA TUME HURU UNATEGEMEA NINI? Erythrocyte hakuna uchaguzi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  11. jaytravo

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Shamba la mitiki linauzwa Tanga Korogwe

    Shamba la mitiki LINAUZWA Mteja ambae uko serious Piga simu tuzungumze 0615636384 Miti iko 1700 Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza Karibu umalizie palipo Baki.
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna mji una utulivu kuliko Tanga

    Hivi Tanzania kuna mji una utulivu kuliko Tanga ? Halafu wanapenda mapenzi sana😃 saa 1 ya usiku haukuti mtu barabarani , soda zao , usafiri wa pikipiki hauukuti popote
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Scancem yakaribia umiliki wa asilimia 75 wa Tanga Cement Tanzania baada ya dili la Sh. bilioni 13.3

    Hisa za Tanga Cement PLC (TCCL) ziliongoza shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyopita baada ya dili kubwa la mabilioni ya shilingi kufanikisha Scancem International DA kukaribia lengo lake la kuongeza umiliki katika kampuni hiyo ya saruji. Alhamisi, Agosti 7...
  14. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Fuso/Lori DAR kwenda Tanga

    Wakuu, Kuna jamaa yangu ana mzigo wake unaohitaji kubebwa na lori leo au kesho. Mzigo upo Chalinze. Mwenye connection ya malori ya kwenda Tanga mjini naomba msaada wa namba. Pesa ipo mfuko wa shati. Asanteni wote.
  15. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania EKARI 4,670 ZINAUZWA, ENEO LIPO PANGANI TANGA, BEI NI MILLION 1 KWA KILA EKARI

    #shambalinauzwa Shamba la Ekari 4,670 linauzwa Pangani, Tanga Distance Kutoka Kivukoni cha Pangani (ferry) hadi shamba ni km 14 -Shamba lilikuwa linalimwa Mkonge -Plot size Ekari 4,670 -Document: Title Deed Bei shilingi milioni 1 kwa kila ekari moja 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  17. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  18. R

    JamiiForums Tanzania RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  19. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Kila mtu Tanga anamiliki TZS3,204,244 kwa mwaka

    === Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali...
  20. Bibianna

    JamiiForums Tanzania TASAF: Rais Samia apeleka TZS27bn Tanga kusaidia masikini na wasiojiweza pesa hii sio mkopo wala deni hawatalazimika kuirejesha hapo baadae

    Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025, mpango huu ulikuwa ukitekelezwa katika vijiji | mitaa 1,039 kutoka awali ya vijiji | mitaa 656...
Back
Top Bottom