tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?

    Wakuu Sote tunajua jinsi ya kununua umeme wa luku. Swali hili liliwahi kujadiliwa sehemu sina hakika ni wapi, lakini je zile vocha unazo nunua na kwenda kuingiza kwenye LUKU inakuwaje? Je, LUKU zinawasiliana na server za TANESCO kujua kiasi cha units ulizo nunua kama unavyoingiza vocha ya simu?
  2. JamiiForums Tanzania Tanesco msituchezee akili -- maboresho yenu ya LUKU yamekwama!

    Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha kuuza umeme kwa sababu waliokuja kununua umeme leo hawakupata vikaratsi 3 kama Tanesco ilivyotangaza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya DOWANS kwa TANESCO ni utapeli kama Richmond ilivyokuwa; Hakukuwa na hukumu ICC!

    Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya Richmund kwamba kampuni iligundulika feki kwa kujifanya mambo yao yamefanyika USA na kwingineko ulaya...
  4. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Songas na TANESCO bora uvunjwe, hauna maslahi kwa Taifa!

    Mradi wa gesi ya Songo-songo unajulikana zaidi kama “Songas” - ambao unamilikiwa na kuendeshwa na kampuni ijulikanayo kama Pan African ni wa kijinga na hauna maslahi yoyote kwa mtanzania kwanini mradi huu ni wizi mtumpu! Kwanza Tanzania haina mamlaka yoyote ya kibiashara katika mrado huo. Eti...
  5. JamiiForums Tanzania TANESCO yashitukia mkataba wa Songas

    Tuesday, 24 May 2011 20:08 newsroom NA MOHAMMED ISSA SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema mkataba kati yake na kampuni ya gesi ya Songas una utata na unaweza kulisababishia hasara kubwa. TANESCO imesema mitambo ya Songas haiwezi kuzalisha megawati 160 kwa sasa, kwa kuwa haina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…