Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.
Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...