tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Tanesco Mali zake zitaenda wapi ?

    wana real estates nyingi tu, wana machines, hata Mabwawa ya kuzalisha umeme na hata hili jipya la Nyerere nafikiri ni Mali ya tanesco yetu pia na vyote hivi tumejenga kwa kodi zetu hata kama tulichukuwa mkopo lkn tunalipia kwa kodi zetu, sasa mali za tanesco zitakwenda kwa mnunuzi wa tanesco pia...
  2. TANESCO ivunjwe kwa staili hii

    Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii. Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo litasimamia mitambo yote ya kuzalisha umeme ya serikali, na kuwe na mashirika ya usambazaji wa umeme kwa kila...
  3. Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  4. S

    Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

    Hivi hili shirika lina tija kwa Tanzania na watanzania? Miaka nenda rudi sarakasi za TANESCO haziishi. Ahadi za watendaji na wanasiasa kuhusu TANESCO zinatolewa kila mwaka. Lkn hakuna jipya. Swali la msingi ni kwann halifutwi shirika hili?
  5. TANESCO Nyakato Mwanza wanatutesa wateja wa Mwandulu - Kisesa

    Nawasilisha.
  6. R

    Kwanini CHADEMA wameamua kumpuuza Makonda?

    Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention . Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo...
  7. Kwanini TANESCO isivunjwe?

    Hakuna umeme hata dar es salaam, viwanda, majumbani na kwenye biashara hakuna umeme, ni shida na hasara ya matrilion inapatikana: Mvua zinanyesha nchi nzima, mabwawa yamejaa na mafuriko kila kona ya nchi. Kwanini umeme hakuna? Kipindi cha ukame mnasingizia mabwawa yamekauka na mabwawa yakijaa...
  8. Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  9. Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  10. Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda. Kufuatia uamuzi huo, Rais amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyasabo kuwa Mwenyekiti wa...
  11. U

    Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  12. TANESCO bado shida ni kubwa sana, wiki 3 transformer imeungua haijabadilishwa

    TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
  13. Rais Samia: Uzalishaji Umeme Bwawa la Nyerere kuanza Januari 2024

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa nishati hiyo kuanza. Rais Samia amesema baada ya kuwashwa kinu cha kwanza, cha pili kitawashwa kabla ya...
  14. Tanesco wilaya ya Chunya kama tumewakosea mtusamehe! Umeme unakatika kila siku!

    Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
  15. S

    Haya mnaoilaumu TANESCO mmejibiwa na rais Samia

    Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke. Biteko hafai. Biteko ni tatizo. === FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni "Sio kwenye mitihani...
  16. Serikali: Mashine ya kwanza ya Kufua Umeme Bwawa la Nyerere itawashwa Mwezi Februari 2024

    My Take Hongera sana Serikali ya awamu ya 6 na Tanesco Kwa sababu hii ni mapema zaidi kabla ya mwezi June ambao ulipangwa kabla. Kufuatia uwepo wa mgao wa umeme nchin Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeuarifu Umma kuwa Februari 25,2024 mashine namba 9 ya kufua umeme kwenye bwawa la mwalimu...
  17. Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

    Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa. Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi. Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue...
  18. Napendekeza nguzo zote za umeme zichukuliwe GPS coordinates, na zifungwe sensor , taarifa zote zilishwe kwenye mfumo wa Geomap ya Tanesco.

    Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme. Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
  19. Je hili la Tanesco si Shambulio la Kimtandao kwa Nchi? Cyber Attack? Usalama wa Taifa hili jukumu lenu

    Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana. Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi...
  20. TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…