talaka

Talaka (Belarusian: Талака) was a cultural and enlightenment youth organisation in Belarus during Soviet rule. It existed between 1985 and 1990 and was a predecessor and early part of the Perestroyka-inspired pro-independence movement in Soviet Belarus. Several key members of the Talaka later formed the Belarusian Popular Front.
Talaka was created in 1985 as an informal club for protection of historical architecture. Its creators were Siarzhuk Vitushka, Vintsuk Viachorka (later chairman of the Partyja BNF), Viktar Ivashkevich (later one of the leaders of the Belarusian Popular Front and the Partyja BNF) and several others.
The club organised celebration of traditional holidays, revived traditional ceremonies, participated in archaeologic research. It was active in Samizdat publishing. Towards end of the 1980s the group started to more actively participate in pro-democracy and pro-independence political activities.

View More On Wikipedia.org
  1. safuher

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    Wakati wanaharakati wakihangaika kuwainua wanawake na kujifanya kuwatetea ndipo wanazidi kuwashusha na kuwakandamiza wanaume. Hali inakokwenda kuna wanaharakati watajitokeza nao kuwa wanatetea wanaume dhidi ya ukandamizaji unaofanywa dhidi yao. Mwanamke kutaka pasu kwa pasu ilhali hajachangia...
  2. Numbisa

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

    Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto Kwa mujibu wa taarifa Kim...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Pemba, Wanawake watatu wapewa talaka kwa sababu za kisiasa

    Wakinamama takribani watatu wamethibitika kupewa talaka baada ya hekaheka za uchaguzi. Wete katika jimbo la Gando mume ametoa talaka kwa bi. Zawadi Ally Haji "Niliachwa kipindi hicho cha siasa, mume aliniambia nikienda kupiga kura ndio talaka yangu na mimi nikaenda, nilivyorudi jioni ndio...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Elton John amefikia makubaliano ya kumlipa aliyekua mke wake £ milioni 3 kwa kuvunja makubaliano ya talaka yao

    Elton John na Renate Blauel walifunga ndoa mwaka 1988 iliyodumu kwa miaka minne. Wakati wana achana walikubaliana kuwa kila mmoja hataongelea tena ndoa yao hiyo na walifunga mjadala. Mwaka 2019 Elton John alivunja makubaliano hayo akiwa anaandika historia ya maisha yake. Renate Blauel alianza...
  5. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Hapa piga ua, talaka yangu utatoa tu...

    Binadamu si wa kuwaamini hata. Yaani mtu mwingine ni rafiki lakini kumbe hakutakii mema. Nliusikia huo wimbo wa Bend moja hapa nchini. Wanaimba wanasema hapa piga ua talaka yangu utatoa, ama sivyo ee bwana we nitakuonesha.. Nikaandika kwenye status yangu HAPA PIGA UA TALAKA YANGU UTATOA. Chini...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makosa 99 Yaliyokuwepo Kwenye Talaka niliyompa Mke wangu

    HAYA NDIYO MAKOSA 99 YALIYOKUWEPO KWENYE TALAKA NILIYOMPA MKE WANGU. Na, Robert Heriel TAIKON WA FASIHI ROBERT HERIEL S.L.P TIBELI YAH: SABABU 99 YA KUMPA TALAKA MKE WANGU Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Miaka kadhaa nyuma nilifunga ndoa na mke wangu niliyempenda kwa dhati yote...
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Bakwata uislaam huo mmeutoa wapi? Kumbukeni moto ni mkali sana mtaenda chomwa

    Nayaandika haya nikiwa na uchungu mkubwa rohoni mwangu. Nikiangalia wale walio pewa mamlaka ya usimamizi wa sheria ya Allah wanafanya mambo mazito ya kumuasi Allah na kudhulumu watu. Kwanza nibainishe mimi sio mtu wa kuendeshwa na mihemko ya kiharakati... Sina chuki juu ya bakwata na...
Back
Top Bottom