talaka

Talaka (Belarusian: Талака) was a cultural and enlightenment youth organisation in Belarus during Soviet rule. It existed between 1985 and 1990 and was a predecessor and early part of the Perestroyka-inspired pro-independence movement in Soviet Belarus. Several key members of the Talaka later formed the Belarusian Popular Front.
Talaka was created in 1985 as an informal club for protection of historical architecture. Its creators were Siarzhuk Vitushka, Vintsuk Viachorka (later chairman of the Partyja BNF), Viktar Ivashkevich (later one of the leaders of the Belarusian Popular Front and the Partyja BNF) and several others.
The club organised celebration of traditional holidays, revived traditional ceremonies, participated in archaeologic research. It was active in Samizdat publishing. Towards end of the 1980s the group started to more actively participate in pro-democracy and pro-independence political activities.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

    Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
  2. shetrish

    JamiiForums Tanzania Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West yavunjika rasmi

    Kim Kardashian hatimaye ametalakiana rasmi na mume wake YE aliyejulikana kama Kanye West baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka minane. Katika uamuzi wa mahakama uliotolewa kupitia njia ya video nyota huyo pia ameondoa jina la West kutoka katika jina lake la Kim Kardashian West na kuwa Kim...
  4. DALA

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
  5. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

    Adai anaishi kwa stress baada ya kutelekezwa. ========= The wife of Tanzanian Superstar Ali Kiba has filed for divorce in Mombasa Kadhi's court after three years of marriage. Amina Khalef wants to dissolve her marriage with Ally Salehe Kiba, claiming stress and neglect. The two married under...
  6. F

    JamiiForums Tanzania talaka

    Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake, Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae akamwambia kwa ukali "Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo zako na…….. Kabla hajamalizia sentensi simu ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake. Basi mzee akaanza kuongea na...
  7. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  8. Nigga What

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini

    Kuna rafiki yangu wa karibu ameanza kuhangaikia talaka baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka mitatu. Amejaaliwa maisha mazuri kiasi na mwanamke mzuri sana ambaye amepata nae watoto wawili. Kisa cha bwana huyo kuhangaikia talaka ni mwanamke kumsaliti na mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa...
  9. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!

    Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana. Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe sheria ya Ndoa za Kikristu ili ziruhusu talaka kuepusha mauaji na fumanizi

    Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula! ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji! Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo! Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza! Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ufanye nini ili kuepuka talaka katika ndoa yako?

    Utangulizi: Ndoa ni muunganiko wa hiari unaotokana na maridhiano baina ya mwanaume na mwanamke. Maridhiano haya hutoka moyoni kwa kila mmoja baada ya kuwa ameshawishika na kuridhika na mwenzake, kulingana na vigezo anavyovitaka na hivyo huamua kuushusha upendo wake kwa mwenzake, humuamini na...
  12. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Habari, Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa. Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa...
  13. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Kuombwa talaka gerezani

    Maisha ya mapenzi na ndoa yana changamoto sana. Ila matatizo ndio kipimo cha uvumilivu. Hiki kisa cha masheikh hawa, kimenikumbusha kisa cha Ayoub kuugua hadi kubaki ulimi tu na mkewe alisimama naye. ============== Unguja. Masheikh wa Uamsho, wameendelea kufunguka kuhusu machungu waliyopitia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

    Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mume wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe. Hana raha na ndoa Hana amani Mke anamnyima unyumba Mke mkorofi Mke anaongea sana Mke kachepuka na mengine mengi 99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point...
  15. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mume wa rafiki yangu anatarajia kuoa mke wa tatu wiki ijayo, rafiki yangu hana raha na ndoa yake

    Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu. Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Talaka haina umri! Watalikiana baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka 77

    Ndio dunia! Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo. Sasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipi.
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Bill & Melinda Gates watalikiana

    Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

    Hatimaye mwanadada mrembo na mfanya biashara maarufu tokea pande za +254 amefunguka na kudai ameshasaini kila kitu kilichomtaka yeye kufanya hvyo , na Kwa sasa anachoangalia yeye ni biashara zake na sio kitu kingine...... Ben Pol na Anerlisa walifunga ndoa mwishoni mwa mwezi mei mwaka 2020...
  19. Slowly

    JamiiForums Tanzania Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

    Anaandika Millard Ayo "Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kilichoongea na millardayo.com shauri hilo limefunguliwa na Benard Paul Mnyang’anga katika...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Afungua kesi mahakama ya Mwanzo Ilala kudai talaka baada ya kunyimwa tendo la ndoa kwa miaka mitano

    Ndoa zimekuwa na utata kila kukicha, sasa mtu ana miaka 62 anataka kumuaacha kwa nini? Au ndio kutaka kugawana mali mapema? Adela Ngogolo (42) amefungua kesi ya madai mahakama ya mwanzo Ilala akiomba kupewa talaka na mumewe, Alcado Mkondola (62) kwa madai kuwa ameshindwa kumpatiwa haki yake ya...
Back
Top Bottom