takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). “Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa...
  2. Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

    CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na uhusiano kama nani zaidi kati ya Askofu na Mtendaji Kata, Nabii na Sangoma fulani, rubani wa ndege...
  3. F

    TAKUKURU Ikimaliza Kuichunguza CHADEMA Watumie Ripoti ya Wizi wa Mali za CCM ya Bashiru Kuichunguza CCM pia

    Katika kuendeleza mashambulizi dhidi ya CHADEMA na Mbowe, serikali ya CCM imeiagiza TAKUKURU kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa fedha ndani ya CHADEMA. Mbali na ripoti ya CAG kueleza wazi kuwa kulikuwa na kasoro kadhaa katika taarifa za fedha za vyama vyote, vikiwemo CCM na CUF, TAKUKURU...
  4. GE2020 Ni kwanini TAKUKURU haijamchukulia hatua Dkt. Mayrose Majige wa CHADEMA kwa kutangaza kugombea Urais kabla ya muda?

    Tume ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) ndiyo pekee yenye mamlaka ya kutangaza muda wa kuanza kampeni kwa vyama vyote vya sasa, kwa nafasi zote za zinazogombewa katika uchaguzi mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Tume hiyo ya uchaguzi bado haijatowa ratiba hiyo na hivyo kuonya kwa...
  5. Katibu mkuu wa TFF ahojiwa TAKUKURU

    Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini TFF Wilfredy Kidau amehojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa. Baada ya kutoka ndani Kidao hakutaka kuongea chochote na waandishi wa habari. Hivi karibuni Mkurugenzi wa TAKUKURU Brig. John Mbungo aliweka wazi kuwa wanaendelea kuwahoji watu...
  6. TAKUKURU kuchunguza misaada ya corona

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa itafuatilia kwa karibu misaada yote inayotolewa kwa ajili ya kusaidia jitihada za kupamba na corona kuhakikisha hakuna vitendo vya rushwa. Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Bregedia Jenerali John Mbungo, aliyasea hayo jana jijini...
  7. TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa . TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike. Mkurugenzi wa TAKUKURU...
  8. Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi kuhus Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya fainali za AFCON kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 zilizofanyika mwaka 2019 Katibu Mkuu wa TFF, Kidai Wilfred amesema fedha hizo hazikuingia kwenye akaunti za fedha...
  9. TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam yapanguliwa, uchunguzi waendelea

    Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi wa TAKUKURU MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania, Brigedia Jenerali, John Mbungo amepangua safu ya uongozi wa taasisi hiyo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bosi...
  10. Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

    Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
  11. J

    Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya TAKUKURU na CAG. Asema Corona haitazuia Uchaguzi Mkuu 2020

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere. Aidha Mhe. Rais atapokea Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  12. Taarifa kwa Umma kutoka TAKUKURU

  13. Christopher Mariba, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na mwenzake, watuhumiwa kuomba na kupokea rushwa, wasimamishwa kazi

    TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO WA HABARI IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 20, 2020 WATUMISHI WAWILI WA TAKUKURU WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa — TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa...
  14. S

    TAKUKURU Mtwara chunguzeni chuo cha kilimo Mtwara(MATI) kulipisha wanafunzi tsh 10,000 ili wapate control number

    Kuna taarifa kuwa chuo kinawatoza wanafunzi 10,000 Tsh kuwatengenezera control number wakati wnataka kwenda benkikulipa ada. Kibaya ni kuwa hawatoi hata risiti kwa malipo ya kupata control number. Tafadhali lifanyie kazi kama sheria ya kodi inasema hivyo kuwa kupata control number unalipia
  15. TAKUKURU kutoa elimu ya rushwa ya ngono mtaa kwa mtaa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote. Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
  16. Zitto: Siogopi kubambikiziwa uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha (USD 2M), nakuja!

    Leo Februari 14, 2020 Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe, ambaye yupo nje ya nchi katika harakati za kuhami Demokrasia yetu ya Tanzania kwa kuhamasisha mshikamano na Jumuiya za Kimataifa, ameandika yafuatayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter; Aprili...
  17. J

    Tetesi: CCM kuwafikisha Takukuru mafisadi wa mali za chama waliotajwa na Tume ya Dr Bashiru kwenye ripoti yake

    Nimepatata fununu hizi muda si mrefu kupitia makada wawili tofauti lakini bado nazifanyia kazi kujua usahihi na uharaka wake. Mmoja wa watoa taarifa amesema huenda zoezi hili likaendeshwa kimya kimya bila tambo za kisiasa ili sheria ichukue mkondo wake kikamilifu. Niwatakie Dominika yenye Baraka!
  18. Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni na Ramadhani Kailima watinga TAKUKURU kuhojiwa

    Baadhi ya wadau walikuwa wanajiuliza kwamba kama Waziri wa Mambo ya ndani na Katibu wake wameng'olewa mbona wasaidizi wao hawajaguswa ? Jibu laweza kupatikana baada ya Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni na Naibu Katibu Mkuu Ramadhan Kailima kutinga TAKUKURU kwa mahojiano . Dodoma...
  19. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa. Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
  20. Bunge laiagiza TAKUKURU kukamata vigogo mbalimbali

    Imeelezwa na chombo hicho cha kutunga sheria kuwa fedha hizo zilichotwa katika biashara ya uendeshaji wa machinjio ya Dodoma katika kipindi cha miaka 11 iliyopita. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mahmoud Mgimwa, amesema wamebaini watendaji wa Narco na Wizara ya Mifugo na Uvuvi waliohudumu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…