Uchaguzi 2020 Boniphace Mwita Getere Mikononi mwa TAKUKURU. Ni Mbunge anaemaliza muda wake Bunda Vijijini

chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,715
533
Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo.

Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta, Kata ya Mugeta ,Jimbo la Bunda (Maarufu kama Bunda Vijijini).

Pamoja na maonyo ya kila siku Toka kwa Mamlaka za Dola na Viongozi baadhi ya Watia NIA na wanaomaliza muda wao wameendelea kufanya vikao vya Siri na kugawa rushwa ya Fedha na Chakula.

Aidha taarifa zaidi zinasema Ndugu Boniphace Mwita Getere amejenga mazoea ya kutoa Fedha ili kushinda uchaguzi huku akiwa hakubaliki kwa Wananchi, Mwaka 2015 Ndugu huyo alitoa Fedha kwa wajumbe kwa udhamini wa Aliyekuwa Mgombea wa UKAWA Edward Lowasa na Mfanyabiashara Maarufu toka Musoma Mjini ambaye ana cheo cha Ubunge.

Mbunge huyo ameshindwa kutekeleza Ilani ya Chama na kushindwa kujenga Hoja jambo ambalo limekuwa chanzo cha kuchukiwa na WanaCCM pamoja na Wananchi.

Vyombo vya Dola vichukue Hatua bila Huruma kwa Wanaovunja Maadili kama hawa.
 
Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta, Kata ya Mugeta ,Jimbo la Bunda ( Maarufu kama Bunda Vijijini)...
Wacha wakulane vichwa hao wahuni.
 
Pesa ipo, faini yake imeshapigiwa hesabu wakati wa kupanga uhalifu. Ikaonekana ni jinai yenye faida mwisho wa siku.
 
Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo.

Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta, Kata ya Mugeta ,Jimbo la Bunda ( Maarufu kama Bunda Vijijini).

Pamoja na maonyo ya kila siku Toka kwa Mamlaka za Dola na Viongozi baadhi ya Watia NIA na wanaomaliza muda wao wameendelea kufanya vikao vya Siri na kugawa rushwa ya Fedha na Chakula.

Aidha taarifa zaidi zinasema Ndugu Boniphace Mwita Getere amejenga mazoea ya kutoa Fedha ili kushinda uchaguzi huku akiwa hakubaliki kwa wananchi, Mwaka 2015 Ndugu huyo alitoa Fedha kwa wajumbe kwa udhamini wa Aliyekuwa Mgombea wa UKAWA Edward Lowasa na Mfanyabiashara Maarufu toka Musoma Mjini ambaye ana cheo cha Ubunge.

Mbunge huyo ameshindwa kutekeleza Ilani ya Chama na akiwa na uzezeta wa kujenga Hoja jambo ambalo limekuwa chanzo cha kuchukiwa na Wanaccm pamoja na Wananchi.

Vyombo vya Dola vichukue Hatua bila Huruma kwa Wanaovunja Maadili kama hawa.
Mtoa mada naona una utindio wa ubongo unalalama sana utafikiri ccm huwajui wakati ndiyo waliokufanya uweke akili yako mfukoni na wewe utumia akili za akina polepole vumilianeni tu kwani wewe hujui kuwa ccm ndilo Gwiji la rushwa hapa nchini??Kama hujui basi nenda kapimwe mkojo!!!
 
Mbona Mzee wa ndumba kagawa mabaiskeli na mapikipiki kule mitaa ya kati na haguswi au ndiyo makafara yanampa kinga?
 
Yaani Bunda Vijijini hawakuwa na mbunge kabisa. Sijawahi kumsikia kaongea la maana hata moja bungeni. Ni kugonga meza tu khaaa . . . .
 
Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo.

Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta, Kata ya Mugeta ,Jimbo la Bunda (Maarufu kama Bunda Vijijini).

Pamoja na maonyo ya kila siku Toka kwa Mamlaka za Dola na Viongozi baadhi ya Watia NIA na wanaomaliza muda wao wameendelea kufanya vikao vya Siri na kugawa rushwa ya Fedha na Chakula.

Aidha taarifa zaidi zinasema Ndugu Boniphace Mwita Getere amejenga mazoea ya kutoa Fedha ili kushinda uchaguzi huku akiwa hakubaliki kwa Wananchi, Mwaka 2015 Ndugu huyo alitoa Fedha kwa wajumbe kwa udhamini wa Aliyekuwa Mgombea wa UKAWA Edward Lowasa na Mfanyabiashara Maarufu toka Musoma Mjini ambaye ana cheo cha Ubunge.

Mbunge huyo ameshindwa kutekeleza Ilani ya Chama na kushindwa kujenga Hoja jambo ambalo limekuwa chanzo cha kuchukiwa na WanaCCM pamoja na Wananchi.

Vyombo vya Dola vichukue Hatua bila Huruma kwa Wanaovunja Maadili kama hawa.
CCM NA RUSHWA DAMUDAMU
 
Back
Top Bottom