RPC wa Arusha na Mkurugenzi wa Takukuru Arusha wamefanya nini kiasi rais Magufuli katoa onyo mbele ya hadhira?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,944
Wasalaam..!
Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini?
Wenye information mtujuze tafadhali
 
Walienda kinyume cha maadili ya KAZI zao.
 
Walimnusuru Mboga kunaswa na TAKUKURU akigawa rushua ya kununua kura za maoni,bila wao leo angekuwa ananyea debe.
 
Wasalaam..!
Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini?
Wenye information mtujuze tafadhali
Wametaka kumkamata mwana ccm aliyetaka kutoa rushwa hilo ndilo kosa lao.
 
Back
Top Bottom