tajiri

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

    Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia. Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
  2. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

    Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro. Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi). Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu...
  3. miminimama

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Sijui niandike nini. Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture. Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli, huwezi kuwa tajiri bila kufilisika?

    Kuna comment moja aliitoa mdau wa humu jf, alisema huwez kuwa tajiri bila kufilisika, akimaanisha kuwa kwenye harakati za utaftaji, huwez fikia mafanikio ya kifedha, bila kupitia kipindi cha kuishiwa pesa.. Kuna ukwel katika hili
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

    Wapwa Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima. Je wewe hadithi yako ni ipi.? Haki huinua Taifa.
  6. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Kabla sijawa tajiri kama kuna mtu anataka kufa, afe kabisa

    Habari za mida Hii!? Nasemaje kama nafoka nitafoka sana tu ni hivi maisha unatafuta kwa nguvu zote unapigana huku na kule, Sio baadae Niwe Tajiri ndio ufe, Nionekane nimekutoa kafara hiyo haipo na nikisikia maneno hayo wote napiga risasi, mtu unapambana kwa hali na mali jua na mvua dili...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kutisha na yenye kuumiza hisia tunayokutana nayo tukiwa maskini

    Kudharauliwa, kuchekwa, kupewa maneno ya kejeli, kwa sababu ya kukosa kazi na umaskini ulionao, ingawaje anaekudharau ni maskini kama wewe.. Naapa kwa mbingu na ardhi siku nikija kufanikiwa sana kipesa, sitokuja saidia hata Mtu mmoja chini ya hili jua, nikitoa pesa ntakua nalenga faida ya mara...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin ndiye tajiri kuwazidi wote duniani, ila ni msiri wa ajabu

    Mali yake imefuatwa kimya kimya na kukadiriwa kuwa $200b, hiyo ni sawa na ukijumlisha GDP ya mataifa kama saba hivi ya Afrika, lakini jamaa ni msiri kupita maelezo............ They say money equals power, and Vladimir Putin has plenty of power of right now. But how much money does he have...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndugu yetu alitaka kuwa tajiri kama Laizer kwa madini amefariki kazini

    Afariki kwa kupondwa jiwe kichwani akichimba madini. Mkazi wa Kijiji cha Masungura wilayani Meatu, Simiyu Michael Salum (30), amefariki dunia kwa kupondwa na jiwe kichwani wakati akichimba dhahabu ndani ya duara katika machimbo ya Mwakitolyo, wilayani Shinyanga. Ofisa Madini Mkoa wa Shinyanga...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Dkt. Chiduo (Marehemu) Gairo yapata Dkt. Joel Mmassa mhadhiri UDOM kunyukana kura ya maoni CCM na tajiri wa Gairo mhe. Shabiby

    Na mwandishi wetu Jimbo la Gairo mkoani Morogoro ni kati ya majimbo nchini yatakayokuwa na upinzani mkali. Tajiri wa kampuni ya mabasi ya abiria Ahmed Shabiby awamu hii anakabiliwa na upinzani mkali jimboni kwake. Mtoto wa mwalimu mstaafu na mzee maarufu wa Gairo Mzee Johnson Mmassa...
  11. mgt software

    JamiiForums Tanzania Ijue Muleba, halmashauri tajiri ambayo iliwahi kumiliki Meli ikaliwa na mchwa

    Wana JF, Halmashauri ya Muleba ndiyo inaoongoza kuwa na utajiri mkubwa kuliko wilaya zote za Kagera kimapato. Wilaya hii ina majimbo mawili, Muleba Kaskazini na Muleba Kusini. Sehemu kubwa ya utajiri wake ni kutokana kilimo cha kahawa, ndizi, mihogo, Karanga, maharage na mtama, pia wilaya hiii...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Rais Putin ndiye Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na Mali ya thamani ya Us dolar bil 200

    Phoenix news wametoa taarifa ya kushangaza kuwa Puttin ni Rais wa kwanza tajiri duniani akiwa na mali zenye thamani za Us dolar bilion 200. Hi ikijumuisha pesa taslim na mali nyinginezo. Trump ana mali zenye ya Us dolar bilion 3.1. Nimeshangazwa Sana na utajiri wa Putin ambaye biashara zake...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

    Kuna watu kama wanne hivi wa karibu ninaofahamiana nao, hao wanaume aisee wako vizuri kifedha, wana nyumba wana magari mazuri ya kutembelea na biashara wanazo zinazowaingizia pesa mingi. Sasa kinachonishangaza ni kuwa hao wote wana-struggle kupata wadada wa kuwa nao kwenye mahusiano, pamoja na...
  14. Viol

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

    Spika Ndugai amesema haya, Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais Nakumbuka miaka niliyosoma...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  16. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Premier league inasemekana imeshapitisha dau la £300 million na kufanya Newcastle kuwa klabu tajiri dunian

    Jarida la the sun .limeripot kwamba premier league imetoa nafas kwa bilionea wa Saudi Aribia kuingia ndani ya viunga vya St James’ Park. Ambapo kuingia kwa bilionea huyo itapeleka kufanya club hiyo ya Newcastle kuwa ni mingon mwa klabu tajiri dunia. Mfuko wa Uwekezaji wa Umma wa Saudi Arabia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa tajiri wa pili duniani 01

    "Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John tajiri mkubwa duniani kwa kuondokew na mke wake àliyefarik kwa ajali ya ndege(private plane) huku...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye deni la trillioni 100 ni tajiri kuliko mwenye bilioni 100 kwenye akaunti yake, kuna mtu anabisha?

    Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
  19. peter msuku

    JamiiForums Tanzania Jamii masikini yenye ardhi tajiri (Msangano Momba)

    JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI (MSANGANO MOMBA) BY MSUKU PETER UTANGULIZI Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
Back
Top Bottom