FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 35,759
- 40,233
Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanzie hapa kwanza mwenye buku mkononi na mwenye deni la laki kwa mangi, mimi naona bora mwenye buku mkononi.Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
mimi nimebisha!!!Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
Hivi unaweza kumnyima mtu msaada wa pakti moja ya sigara kisa una mdai milioni 10 ulizomkopesha?mimi nimebisha!!!
Kheri shari kamili kuliko nusu shariheri mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa
kama kanizungusha hata chakula ntamnyima.Hivi unaweza kumnyima mtu msaada wa pakti moja ya sigara kisa una mdai milioni 10 ulizomkopesha?
sasa ulimwamini kwa lipi hadi ukamkopesha milioni 10? si lazima kulikuwa na 'uaminifu' kati yenu, hata kama amevunja uaminifu, bado kuna kitu kilikufanya aaminike hapo awali, na huo ndio utajiri wake..kama kanizungusha hata chakula ntamnyima.
Haya turudi kwenye mada niliyokubishia.
Hili jibu kama ndio linajibu mada uliyoleta basi hakuna mantiki yoyote hapa!.sasa ulimwamini kwa lipi hadi ukamkopesha milioni 10? si lazima kulikuwa na 'uaminifu' kati yenu, hata kama amevunja uaminifu, bado kuna kitu kilikufanya aaminike hapo awali, na huo ndio utajiri wake..
Kati ya bakkressa na Serikali ya Tanzania nani ana deni kubwa? Na je, si kweli kwamba kuna wakati serikali huwa inakosa hata senti kwenye akaunti yake baada ya kulipa mishahara ya watumishi?Hili jibu kama ndio linajibu mada uliyoleta basi hakuna mantiki yoyote hapa!.
Umesema mtu mwenye deni la trilioni 100 (wakati huu-present) ni tajiri kuliko mtu mwenye millioni 100 bank (wakati huu-present) halafu unakuja niuliza tena kwanini nilimuamini nikamkopesha (wakati uliopita-past) bila fikiria kwanini wakati huo nilimkopesha!?..
Nakuuliza hilo hilo swali:
Mtu mwenye deni la 100T akija kukukopa na mtu mwenye akiba ya 100M akija kukukopa nani utamkopesha kwanza!?
Mifano yako hailingani na mada husika kabisa!.Kati ya bakkressa na Serikali ya Tanzania nani ana deni kubwa? Na je, si kweli kwamba kuna wakati serikali huwa inakosa hata senti kwenye akaunti yake baada ya kulipa mishahara ya watumishi?
Hivi wewe ni Mtanzania kweli.....au ulikwepa shule...neno Firisika ndio kiswahili cha wapiMifano yako hailingani na mada husika kabisa!.
Yani unamlinganisha Bakhressa (Mtu binafsi) anayeweza firisika muda wowote watu wakamgawana mali zake na Serikali (Taasisi) isiyoweza firisika ikagawanwa mali zake!..
Hebu nikuulize swali tena
ushawahi sikia Serikali imefirisika!?. Ushawahi sikia Serikali imefirika wananchi wakagana mali zake!?..
Serikali ni TAASISI HAIWEZI FIRISIKA lakini Bakhressa ni MTU BINAFSI muda wowote ANAFIRISIKA ile kampuni ikauzwa kwa highest bidder!..