tajiri

  1. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Nimedhulumiwa/ kutapeliwa na tajiri na sioni pa kumpeleka

    Husika na mada hapo juu, Katika harakati za utafutaji nikajikuta nimeuvaa umilionea wa ghafla msishangae jamani mambo ya machimbo, basi nilivyoipata hela nikakimbilia kununua malori ya mizigo aina ya Volvo kama sita hivi nikiwa mchanga kwenye ishu za magari. Mungu sio John nikapata tenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tajiri wa Gari ndogo

    Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
  3. W

    JamiiForums Tanzania Shutuma za Diamond Platnumz dhidi ya Forbes, sasa naanza kuamini maneno ya Vijiweni kuwa Bakheresa ni tajiri zaidi ya MO

    Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na moja kati ya recording label kubwa ya muziki dunia, Warner Music Group, kuhusu usambazaji wa kazi za...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu tajiri mwenye maringo anataka mimi nitembee kwenda kwake nitumie nauli yangu lakini yeye ananitumia vijakazi wake

    Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha. Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake ili atunze hela za watoto wake inabidi pia hata mimi nitume mtoto wangu aliyeko huko hakuna haja ya...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Machame Safari, Clemence Mbowe akiona cha moto

    Mfanyabiashara Maarufu Clemence Mbowe anayemiliki mabasi ya Machame Safari amepata pigo baada ya mahakama kuamuru alipe shilingi Milioni 20 kama fidia kutokana na kuvamia eneo lisilo lake na kuanza ujenzi wa kituo cha mafuta kwa wamiliki halali wa eneo hilo David Kimambo na Donald Kimambo huku...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kamba kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni

    Habari wadau leo tudiscuss hii kauli Nadhani kuna ushahidi wa kutosha sasa kwamba kwenye ule mstari camel hakuwa ngamia bali ni kamba na viongozi wamekuwa wabishi kutengua io kauli wakihofia kuonekana vilaza, wamekazania eti ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la si ndano kuliko tajiri...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: TRA acheni kufanya kazi kama polisi Wafanyabiashara siyo majambazi, mbunge asema kuwa tajiri imekuwa dhambi

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja. Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku. Naye mbunge wa Hai mh...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Muandae mwanao kuwa Tajiri

    Unambiwa Muhasibu anatunza pesa za Kampuni Kwa Sheria, anatumia mshahara Kwa tabia na bado ni maskini pamoja na kusomea pesa. Mwanao mjengee tabia ya kuweza kuwaza Makubwa ya uwekezaji, na tabu atakazopata uzeeni pindi akiutegemea sana mshahara na kiinua mgongo. Mfundishe kwa vitendo we kama...
  10. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ni tajiri

    Kila mtu ni tajiri kama ataamua kuwa tajiri, Mungu alimuumba mwanadamu aishi milele ndani ya bustani ya edeni ila kuishi milele kunategemeana na Kama hatakutwa na kosa la kula tunda la mti uliokatazwa, hivyo ndivyo kwenye upande wa utajiri Kwamba wote tunayonafasi ya kuwa matajiri ila nafasi sio...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mataifa masikini kuanza kupelekewa chanjo dhidi ya COVID-19 kabla ya mataifa tajiri

    Shirika la Umoja wa Mataifa la afya, WHO hapo jana limeridhia chanjo dhidi ya virusi vya corona ya AstraZeneca kuanza kupelekwa kwenye mataifa masikini, baada ya kuithibitisha kwa dharura. Mataifa ya kipato cha chini na cha kati yanatarajiwa kupata dozi ya kwanza ya chanjo mwishoni mwa mwezi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Habari wadau.. January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo. Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

    Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz, BMW, VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri. Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

    Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu. Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba...
  15. Sijali

    JamiiForums Tanzania Yaelekea kuna mkanganyiko wa ufahamu baina ya wale wanaosema Tanzania ni nchi maskini na wale wanaosema ni nchi tajiri

    Yaelekea kuna mkanganyiko wa ufahamu baina ya wale wanaosema Tanzania ni nchi maskini na wale wanaosema ni nchi tajiri. Wote hawakukosea. Makosa yapo katika kinachokusudiwa. Miaka yote ya uongozi wa Mwalimu Nyerere alikuwa akisema Tanzania ni nchi maskini. Wakati mwingine alisema bara zima la...
  16. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Tajiri mpya namba moja duniani

    Mwanzilishi, Mkurugenzi Mkuu, Fundi Mkuu na Mbunifu Mkuu wa kampuni ya SpaceX inayojihusisha na utengenezaji wa vyombo vya kusafiri na kufanya uchunguzi katika anga za mbali; pia mwekezaji na Mkurugenzi Mkuu na Fundi Mkuu katika kampuni ya kutengeneza magari ya umeme -Tesla; pia mwanzilishi wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii siyo dalili pekee ya Mtu aliyekuwa Tajiri, Matanuzi ya kila aina na Jeuri ya Kimafanikio kuanza Kufilisika?

    Jacqueline Wolper atangaza kutaja mastaa 10 anaowadai. Taarifa: EastAfricaTV
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mo Dewji anamalizia mwaka kwa azimio la kutowavumilia wanaomtolea lugha za matusi kwenye mitandao ya kijamii kwa mwaka 2021

    Sitavumilia- MO - Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ( @moodewji ) amesema mwaka 2021 hatowavumilia wale wote wanaotoa lugha za matusi na kumvunjia heshima. Mo ametoa onyo hilo jana kupitia ujumbe wake mrefu wa kufunga mwaka 2020 aliouchapisha kwenye...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Umeona nini kwenye maziko ya yule tajiri wa Kibaniani, Patel tokea mwanzo hadi mwisho?

    Asilimia 99 ya waliohudhuria wamevaa barakoa, hili mliliona? Na kujiuliza kulikoni, jamii ya mabaniani ndio karibia wote wamevaa hizo barakoa na sisi tuliokoza rangi ya kiza baadhi walikuwa hawakuvaa kitu, kwenye wafanyakazi wote wamevaa? Bado unaamini yule kimelea hayupo Tanzania? Na hivi...
  20. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
Back
Top Bottom