tajiri

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke tajiri kuwahi kutokea dunia, aliyeyesifika kwa ubahili ulio tukuka

    Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE" Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tajiri itumie rasilimali zilizopo kuboresha uchumi

    Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya thamani Katika miaka mitano ya mabadiliko Tanzania naipata jina Tanzania tajiri ambayo itapambania na...
  4. JamiiForums Tanzania Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu. Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigullu Nchemba: Hatuwezi kumuacha mtu awe tajiri kwa kukusanya pesa za Watanzania

    Waziri wa fedha Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemaba leo mei 22,2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kujibu hoja za wabunge waliochangia bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Viwanda na Biashara Katika majibu yake Dkt. Mwigulu amesema kuwa mtu yoyote...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania iamue kati ya kuwa maskini sasa na kuwa tajiri baadae au iwe tajiri sasa na kuwa maskini baadae

    Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu. Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada ya kweli bali ni mitego/chambo tu katika kuporwa rasilimali zetu, sio misaada ya kutukwamua. Tuamue...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  9. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Rangi: Kinyonga wa Madini Tanzania

    Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na kivuli cha giza kinachofahamika kama "tajiri wa rangi," ambaye mara nyingi huwa kama kinyonga kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake Kwa kifupi marehemu alikuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  12. JamiiForums Tanzania Majiji Tajiri Africa

    TOP 23 RICHEST CITIES IN AFRICA 🌍 1. 🇿🇦Johannesburg ($276 Billion) 2. 🇿🇦Cape Town ($155 Billion) 3. 🇪🇬Cairo ($140 Billion) 4. 🇳🇬 Lagos ($108 Billion) 5. 🇰🇪 Nairobi ($85 Billion) 6. 🇿🇦 Durban ($55 Billion) 7. 🇦🇴Luanda ($49 Billion) 8. 🇿🇦Pretoria ($48 Billion) 9. 🇲🇦Casablanca...
  13. JamiiForums Tanzania Orodha ya clabu tajiri zenye dhamani kubwa zaidi Africa

    Most valuable football clubs in Africa as of the 2023/2024 season, by market value 1)- El Ahly sc, Egypt 🇪🇬,30.5 million euros 2)- Mamelodi Sundowns, South Africa 🇿🇦 - 29.15 million euros 3)- Pyramid FC, Egypt 🇪🇬, 21.73 million euros 4)- Orlando Pirates, South Africa 🇿🇦 19.55...
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti ya msiba wa maskini na tajiri

    Maisha yangu nimeshuhudia misiba mingi na mengine tumeona ya wakubwa na wadogo hapa kwetu kwa imani mbalimbali. Kilichonileta hapa kutofautisha misiba ya maskini na matajiri. Misiba ya maskini ilivyo: Ucheleweshi sababu unapoteza mda huna ulichokiacha hapa, utazikwa haraka na kama msiba...
  15. JamiiForums Tanzania SOMO KWA VIJANA: Ijue tofauti ya tajiri na masikini, au tofauti ya millionea na shilingionea

    Unajua haya maisha watu wanaishia kuishi kwa stress kibao sababu hawajijui na hawajui wanachokitaka au wanachotaka kuwa Mfano dogo anataka kuwa tajiri lkn hajui tajiri ni nini/nani. Na hauwezi kuwa tajiri kama ww sio tajiri (najua hujaelewa) Iko hivi, hata kwenye vita yyt ile huwa tunashinda...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ikiongozwa na mtu kama Rais Samia lazima watu wake wawe na furaha na biashara zitashamiri kama ilivyo sasa

    Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu. Kuendelea kuwa na viongozi wa kisiasa wanawaza kila saa kwamba wanaibiwa nikukosa exposure. Tuwe na viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Dini haziruhusu kuwa tajiri

    Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
  18. JamiiForums Tanzania Video: Mwijaku na mtoto wa Tajiri

  19. JamiiForums Tanzania Sababu Tano kwa nini Mkristo upambane kushinda umasikini wa kipato?

    Karibu moja kwa moja, Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake. 1: Unasikini ni matokeo ya Laana. Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama unatoka ukoo huu jukumu la kutengeneza ukoo mwingine tajiri linakuhusu

    Dhana kuwa mambo hufuata watu ndani ya ukoo ina ukweli wake na mifano yake ipo wazi tu, tukiachana na mfanano wa vinasaba pia hata mazingira huchangia hali hiyo japo kwa ulimwengu wa kiroho watalaam wanasema kuna roho huwa zinatembea ndani ya ukoo fulani. Ulimwengu wa kitajiri na maskini kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…