taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Wamarekani na wazungu wasituingilie mambo yetu ya ndani, sisi ni Taifa huru

    Kauli hii Ni maarufu Sana kwa VIONGOZi wa awamu hii ya tano muhula wa pili."Mabeberu wasituingilie katika mambo yetu ya ndani, kwani sisi ni Taifa huru, uchaguzi ulikua huru na wa haki, Kama mtu hajaridhika aende Mahakamani" Haya maneno yanasemwa Sana na Watawala kutoka CCM ya kizazi hiki. Ila...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Je, kila Taifa lina shetani wake analiongoza?

    Ukisoma kitabu cha Daniel. Kuna kipindi Daniel wakati yupo huko Uajemi aliamua kufunga kwa wiki tatu. Hakuoga, hakunywa pombe(divai), hakula nyama wala msosi wowote mzuri. Sasa kumbe malaika aliyekuwa ametumwa kuleta majibu wakati analeta akakutana na mkuu wa ufalme wa Uajemi, wakaanza kupigana...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

    Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya...
  4. Kadhi Mkuu 1

    JamiiForums Tanzania CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

    Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0. Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza. === #CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia. Zambia 2-0 Tanzania Sikombe 64' (P)...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Imani, uelewa na msimamo wako kuhusu Utumishi wa Umma ni nguzo kuu ya kuzaliwa Taifa mfu

    Nimemsikiliza Profesa Kabudi akieleza nini Mtumishi wa Umma anapaswa kufanya, baadhi ya Mambo anayosisitiza ni pamoja na mtumishi wa Umma: 1. Kutii (obey) mamlaka iliyopo juu yake. 2. Kama ataki kuendana na mamlaka iliyopo juu yake aache kazi. Katika karne ya sasa utii wa mamlaka za...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    HAYA NI MAONI YANGU MIAKA MIWILI ILIYOPITA, LEO 29 JANUARI 2023 NDO YAMETEKELEZWA NA NECTA. NAOMBA LIKES ZENU KWA WALE AMBAO MULIONA VINGINE. _____________________________________________________ Nimeangalia matokeo ya kidato cha 4. Kwa ujumla wake wanafunzi wameshindwa hesabu. Je, Baarza...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Geita kwenda Kamyorwa itengenezwe upya,ni kiungo muhimu kwa uchumi wa taifa

    Kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza,Geita na Kagera wanafahamu umuhimu wa hii barabara hasa kwa uchumi wa eneo hili. Maana ni njia muhimu sana katika kusafirisha watu na bidhaa hasa kwa eneo hili. Hii barabara ilikamilika mwaka 2008 na hapo ndipo ilichochea maendeleo hasa sehemu ilizopita. Kabla...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Referred and Repeat zinamaanisha nini katika mitihani ya Taifa ya kidato cha pili!

    Nimeona Referred ana Repeat, zinamaanisha nini?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Chato au popote pale nchini ni maendeleo ya Taifa zima

    Dhana ya Maendeleo nchi isipotoshwe na watu wachache kwa sababu zao lakini uhalisia ni kwamba maendeleo yanayofanyika Chato yasichukuliwe kuwa ni upendeleo la hasha. Tukumbuke kuwa Taifa hili limejengwa kwa misingi ya umoja tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya Mwl. Nyerere hivyo ukiangalia mkao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo katika kuongoza Taifa hayafanyiwi majaribio, ukijaribu unajijaribu

    Unajua ndugu zangu, niwaambie ukweli kabisa yapo mambo unapo ongoza Taifa hupaswi kuyafanyia majaribio au mzaha maana mambo hayo ukiyafanyia majaribio au mzaha basi mwisho utajitekenya mwenyewe na kucheka peke yako wakati watu wakikucheka na kukusanifu ndipo unakuja ule msemo "ukipenda...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Geita inachangia pakubwa kwenye pato la Taifa, “inastahili" kama Kilimanjaro enzi za kahawa!

    Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine. Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa. Geita na...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    Nimekaa nakutafakari sasa tunakoelekea sio pazuri. Serikali inajenga hospitali ya rufaa Chato, wafuasi wa upinzani wanazodoa na kupinga. Kwani hii Hospitali haitawahudumia Watanzania? Kwani kujengwa Chato ndio tatizo? Mfano, mkazi wa Dar es Salaam akiwa Runzewe anaendesha truck kwenda...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Serikali nzima iwe inakusanya mapato; tutajenga taifa la watu maskini na fukara!

    Kimsingi kazi ya kukusanya na kusimamia mapato ya Serikali ni ya Wizara ya fedha na taasisi zake. Lakini kwa sasa kila waziri amejigeuza kuwa mtoza ushuru au mkusanya tozo na kuacha majukumu yao muhimu ya kusimamia ustawi wa jamii katika sekta zao. Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano na...
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi wa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kwa Askofu Methodius Kilaini

    Ujumbe wa wazi wa Mkt Bavicha Taifa kwa Mhashamu baba Askofu Methodius Kilaini Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba. Na John Pambalu Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismasi na mwaka mpya. Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  16. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars yaendelea na mazoezi kuelekea CHAN

    Kikosi cha Timu ya taifa "Taifa Stars" kimeendelea na mazoezi leo katika uwanja wa Gymkhana kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo na mashindano ya CHAN yatakayofanyika Cameroon. Mashindano ya CHAN awali ilikuwa yafanyike kuanzia tarehe 4 hadi 25...
  17. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
  18. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi wa Mwenyekiti Bavicha taifa kwa Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba

    Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya. Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi. Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuongea na Taifa leo Jan 03, 2020 jioni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii (YouTube, Twitter na Instagram), kuanzia saa 1.00 jioni. Stay tuned!
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili ubaguzi; Kwanini viongozi wakubwa wanaoibia Taifa letu awachapwi viboko adharani mbele ya camera?

    Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi ,wanunuzi wa vyuma chakavu nk Ukiangalia adhabu hii inavyotolewa ni wazi utagundua inatolewa kwa...
Back
Top Bottom