D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,594 Reaction score 6,152 Aug 6, 2026 #1 Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu. Je ni kweli muliopo hapo mwenge? Ngoja niwawekee na link musikilize na kusoma wenyewe Facebook
Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu. Je ni kweli muliopo hapo mwenge? Ngoja niwawekee na link musikilize na kusoma wenyewe Facebook
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,646 Reaction score 5,719 Aug 6, 2026 #2 Aliye na ukweli atuambie