Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani.
Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia, na ukiingia ndani wahudumu wao wamevaa barakoa.
Nawapongeza Tigo kwa hatua hii niliyoishuhudia leo katika tawi lao moja.
Hongereni sana.