Tafsiri ya kumiliki kitu chochote ni kile unachokula hicho ndo haki yako na mali yako

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,931
45,389
Nilichogundua anachokula mtu ndo halali yake na ndo Mali zake .

Ndio maana chakula kinapewa heshima Duniani kote.
Hata Mtu ukiweza mpatia chakula kizuri lazima atakuheshimu na kukuadmire.

Mfano ukiangali hela tunazospend kwenye kula ..yaani Ni hela nyingi sana ambazo tungekuwa tunaishi bila kula hata sisi ambao hatujaingia uchumi was Kati tungemiliki Magari na Majumba.

Mpaka hapa Nina 24 years ila kiukweli Nimeshatumia gharama kubwa katika chakula ukilinganisha na kitu chochote.

Aisee ndugu Chakula ndo Mali yenyewe.
Hata wahaya wanasema "Akolya nikokawe".

Ndugu tuhakikishe tunakula vizuri maana unajibana unakula vibaya unaweka Assets kibao mwisho ukifa warithi wanauza na kwenda kula Bata.

Ndugu tule yaani tule ndo Maisha yenyewe hata Wadangaji Ni njaa tu inayowafanya wanauza uchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom