tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - Kifungu cha 31(10) cha sheria ya kazi na mahusiano kazini kinanichanganya

    Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi: - 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the rate of one day’s basic wage for every 13 days the employee worked or was entitled to work. Na kifungu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  4. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi. Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Swali mafundi naomba mnieleweshe tafadhali

    Nini kinasababisha hadi speed meter ya usafiri inasoma
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  7. cold water

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa anayefaham kutengeneza website

    Jamani kama Kuna IT anaweza mambo ya mifumo vizuri,naomba msaada Kuna web nataka nianzishe sijui pakuanzia naomba anicheki Dm nitajieza vizuri, na Kwa upana zaidi Asante.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu , Yanga tutakupa Urais 2030, tafadhali Tufungie haya Makolo Leo, Piga Hao watoto wa TFF/TPBL

    Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi yanga ndo Wananchi wenyewe, basi sisi tuna ushawishi mkubwa, japo tunaonewa na TFF na Bodi ya Ligi ambao...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

    Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi. Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano ya mbunge wa uyui msaada tafadhali

    Am sorry kama kuna mtu anamawasiliano ya mbunge wa uyui naomba anitumie kwa namba hii 0614922509
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
  14. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  15. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

    Polis wamepata ajali wananchi wamegoma kuwasaidia kisa ni polisi kutumika na serikali kukandamiiza wananchi...Uganda
  17. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  18. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Nilimuachisha chuo, Mke wangu kagundua, ana Mimba mapacha watatu! Msaidie afungue biashara huko kwao! Nahisi kuchanganyikiwa na sijui nifanye nini, kuna huyu binti niko naye kwenye mahusiano kwa miaka 5 au 6 sasa. Wakati nakutana na huyu binti alikuwa yuko chuo, na mimi nilikuwa nataka mtu wa...
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mamlaka tafadhali tunawasihi mtoe ruhusa daladala Mbezi....Muhimbili

    Jambo hili lichukuliwe kama dharura,,,,Kwa sasa mwendokasi si rafiki kwa watu wenye changamoto za kiafya na wengi wetu hatuna mbadala wa usafiri toka maeneo husika uelekeo Muhimbili. Kwa kweli tunawaomba, tena tunawasihi... si kuangalia ! bali kuruhusu,si daladala tu,...bali hata usafiri...
  20. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Kero ya Nzi,Nijulishe Tafadhali.

    Tafadhali nakuomba yeyote unayepajua popote penye kero kubwa ya nzi Nijulishe Ili nilete ufumbuzi wa haraka.
Back
Top Bottom