tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Series ya THE OVAL uanzia season 03 tafadhali

    Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto mwenye nayo naomba usiku huu huuu Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
  2. wete

    JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
  3. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
  7. Elsa Marie

    JamiiForums Tanzania Nimempikia shemeji yenu njegere ngumu haziivi, msaada tafadhali

    Ipo hivi. Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki. Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho. Msaada tafadhali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

  9. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kudhalilishwa kisha nikalala rumande (msaada wa kisheria tafadhali)

    Kutoka kwa rafiki nanukuu bila kuongeza wala kupunguza chochote...mimi ni mwanamke mmiliki wa duka la dawa, siku ya jumatano tarehe 19.3.2024 walikuja watu dukani kwangu ambao hawakujitambulisha ila waliniuliza leseni ya biashara na CHETI cha utambulisho wa mlipa kodi TIN certificate hawakunipa...
  10. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Azampesa vs Selcom Pesa. Msaada tafadhali.

    Salamu wadau, kwema? Nilikuwa nataka kujua hizo huduma hapo juu, Kwa anayetumia. Yupi yup ahead zaidi ya mwenzie? Wapi Kuna makato nafuu? Nasoma komenti
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania TUNAO FUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KWARESMA, TAFADHALINI SANA TUWE WASTAARABU KIDOGO NA VINYWA VYETU.

    Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza. Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
  12. S

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam tv

    Habar za jioni,nimepata changamoto king'amuzi kinaniambia "hakuna kituo" Msaada kwa anaejua tafadhali
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo? Jibu NDIYO au HAPANA Maelezo ya Upigaji Kura: Huruhusiwi kubadili jibu lako...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali

    Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
  15. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu chochote kuhusu hii mashine naomba mnipe muongozo tafadhali

    Ni mashine ya kukaanga karanga. Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi. Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
  16. Muimba SINGELI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tafadhali naombeni mje kujibia hili

    Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi. Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa. Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena. Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha...
  17. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wataalam, Msaada Tafadhali

    Wakuu, naomba Msaada wa namna ya ku unlock hii pocket router ya Alcatel pichani Nikiweka line tofauti na voda inaandika hivi👇🏽👇🏽
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wagumba Tukuka JamiiForums mmepewa Mbinu ya bure hii ichukueni upesi tafadhali ili muijaze dunia

    "Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
Back
Top Bottom