Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali...
Kutoka kwa rafiki nanukuu bila kuongeza wala kupunguza chochote...mimi ni mwanamke mmiliki wa duka la dawa, siku ya jumatano tarehe 19.3.2024 walikuja watu dukani kwangu ambao hawakujitambulisha ila waliniuliza leseni ya biashara na CHETI cha utambulisho wa mlipa kodi TIN certificate hawakunipa...
Salamu wadau, kwema?
Nilikuwa nataka kujua hizo huduma hapo juu, Kwa anayetumia. Yupi yup ahead zaidi ya mwenzie? Wapi Kuna makato nafuu? Nasoma komenti
Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza.
Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
Huruhusiwi kubadili jibu lako...
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi.
Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa.
Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena.
Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha...
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
"Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine kichefuchefu. Je wataalam wa JF hali hii inayonitokea, nitakuwa nasumbuliwa na nini?
Natanguliza Shukran zangu
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku Mbili kabla ya Mechi yoyote na akimaliza Kucheza Siku hiyo hiyo anarudi Dar es Salaam kuendelea kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.