Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za magari,sasa nimekutana na changamoto ya ile chrome ndani ya taa imekufa kabisa kiasi cha kufanya taa isiwe na...
Wandugu Salaam,
Juzi pale hospitali Msoga Madaktari wamepokea mgonjwa aliekuwa anatapika na kuharisha Damu sana na haraka walipomchukua maelezo wakabaini jambo.
Huyu mgonjwa alipata tatizo wakati anatafuna mfupa wa kuku na bahati mbaya kipande cha mfupa chanye ncha kali kilimkwama kooni...
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa.
Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako?
MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa...
Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa uchungu.
Msije mwambia jambo hili. Please sisi tuliokuwepo toka zamani tunao heshimu mpira na watu wake...
Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa.
Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho.
Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
Habari zenu wana jamii
Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala
Natumia Samsung A02
Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini.
Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ.
Nimeamua kuliweka hili humu jf...
Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati mwingine mbele ya mdomo kwa ndani chini ya ulimi, wananicheki na kunipa dawa ya kupaka cream...
Ama kweli Binadamu tunapanga lakini na Mwenyezi Mungu nae pia anapanga lake / yake vile vile.
Kudadadeki Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Usiku huu kwa Aibu waliyoipata kwa Kufungwa na Ihefu FC huku kwa Kujiamini kabisa kuwa Unbeaten Record yao itaendelea wanapanga Kuchoma Moto Jezi zao...
Habari wana Jf
Naomba kusaidiwa kisheria.
Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto.
Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya...
Ndugu zangu naomba kuuliza:
1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?
2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili?
ASANTENI SANA.
1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria.
2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
Wakuu poleni na majukumu!
Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza kutudhamini mimi na jamaa yangu Tufungue ofisi ya kurepair simu na Computer hapa Mwanza.....vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.