tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Exchange rate ya Us$ leo tarehe 26.7.2023 kwa Tsh Tafadhali?

    Mwenye jibu nina liomba tafadhali?
  2. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  4. Trophic

    JamiiForums Tanzania ZAIDI: Tribute Kwa Kina Mama Wote. Tafadhali Pitia Na Mnipe Maoni Yenu

    Hello JamiiForums, Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza craft yangu kiujumla na ningependa muweze kuipitia na kunipea genuine feedback, your support and...
  5. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

    Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
  6. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Maoni yenu tafadhali tafadhali

    Habari za uzima ndugu zangu, Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma??? Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti na mwenye diploma???
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwenye mitihani ya leseni pharmacy (miaka ya nyuma anisaidie tafadhali)

    Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wasomi wenye kufahamu Uchumi wa buluu maana,faida na hasara zake Tafadhali?

    Ninaomba mawazo yenu hili neno ninaona litakuja kufanana na KILIMO KWANZA AWAMU YA NNE.
  9. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili

    Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
  11. African Geek

    JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la kuuza mkaa mbadala? Ujuzi wa kuzalisha ninao, mwenye kujua soko anijuze tafadhali

    Hello wapendwa! Nina ujuzi wa kutengeneza mkaa mbadala wa kupikia! Lakini tatizo sijui wapi nitapata wateja! Naomba mawazo nifanyeje ili nipate wateja ili nianze kuzalisha bidhaa hii. Ujuzi ninao, vifaa na mashine zipo lakini shida ni wapi nitauza hii bidhaa! Kwasasa napotaka kuanza...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  14. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali juu ya hili jambo

    Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

    1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya kusoma kati ya hizi Tafadhali

    Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters. 1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management. 2. Ya pili MS in Finance and Economics. 3. Ya tatu ni Ms in Economics and Data Science. 4. MS in International Business Finance and Economics. Ipi kati ya hizo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya kusoma kati ya hizi Tafadhali

    .
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Raia tafadhali naomba kujua hizo Sheria 12 za TISS zilizopitishwa Kimya Kimya na Bunge linaloendelea sasa

    Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nisiwachoshe wadau niende Moja Kwa Moja kwenye maada. Mimi ni mtumishi niliyewahi kunifaika na bodi ya mikopo elimu ya juu, nikiwa chuoni. Mara baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo nilipata kazi kwenye taasisi ya binafsi nilikokuwa nakatwa makato ya bodi Kwa Kila mwezi. Baada ya mkataba wangu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wahusika NIDA msaada tafadhali

    Hellow, naombeni msaada wenu. Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA. MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya taaluma Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
Back
Top Bottom