tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Msaada: Nini tofauti ya kozi hizi?

    "Bachelor of Arts Economics" na "Bachelor of Arts in Economis" zina tofauti gani?
  2. P

    Anayejua kuhusu hili la RITA anisaidie tafadhali

    Mwanangu amezaliwa Kenya na mama Mkenya ila mie ni Mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari, Nimeenda RITA wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi...
  3. Msaada wa ushauri unahitajika kwenye uhusiano huu

    Kuna mtu mmoja hivi kampenda rafiki yangu, hawajafanya lolote ila shida ni mke wa jamaa alikufa kwa ajali ya gari sasa huyo dada yupo njia panda anaogopa kama kitamtokea kama kilivyomtokea yule mama maaana kaacha mtoto wa miaka 2. Hii inshu haijatungwa, tunaomba tumpe msaada aende au abaki...
  4. Uongozi wa Simba SC tafadhali waambieni Wachezaji wazawa (Waswahili) waache kuwapiga Miba (Kuwaroga) Wenzao wa Kigeni

    GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao. Na huyo Mganga Wao wa...
  5. Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

    Kwa dhati kabisa ninawasihi wanaCCM tusije tukafanya kosa la kuwafananisha TEC na CHADEMA. Nimeona uzi wa ndugu Sir John Roberts akidai wanaCCM tuachiwe TEC kukabiliana nao. Naheshimu mawazo yake kama mwanaCCM mwenzangu ila siungi mkono hoja yake kwa 100%. Sir John labda haijui kiundani TEC...
  6. Tafadhali Wakatoli wa Ibada ya Kwanza tuliowahi Makanisani ili Kuusikiliza na Kuutii Waraka wa TEC tutambuane tafadhali

    GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu. Leo Makanisani ( kwa wenye...
  7. Ukioa kwenye familia yenye wazazi wenye maadili mabovu binti yao anaweza kuwa tofauti?

    Natumai ni wazima kabisa, nina jambo moja ningependa kushauriwa hapa, naamin kuna watu wenye uzoefu na hili na kujua ufumbuzi wake kiujumla. Nakuomba usipite bila kutoa ushauri wako. Je, kuna mtu yoyote ambaye katika maamuzi ya kuoa aliamua kuoa mwanamke ambaye ilionekana kwenye familia yake...
  8. Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  9. Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  10. Tafadhali baada ya Simba Day naomba 'Utamaduni' huu mzuri wa Marehemu Mzee Wetu 'Bamchawi' urejewe

    GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC na Michuano Miwili ya Kimataifa..... 1. Waitwe Wazee Wetu wa Kikwajuni Zanzibar na Wazee...
  11. Tetesi: Waliowapa DP World Bandari ndiyo haohao waliwapa TICTS mkataba ndio hao hao wezi bandarini

    Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world. Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way. Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
  12. Exchange rate ya Us$ leo tarehe 26.7.2023 kwa Tsh Tafadhali?

    Mwenye jibu nina liomba tafadhali?
  13. Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza zaidi, nikijaribu kuangalia sababu sielewi, hii hali imekua ikiendelea kwa muda mrefu sasa na inanipa...
  14. Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  15. ZAIDI: Tribute Kwa Kina Mama Wote. Tafadhali Pitia Na Mnipe Maoni Yenu

    Hello JamiiForums, Hii itakua thread yangu ya pili humu Jukwaani toka nijiunge kama member June, 2020. Mimi ni Producer, Composer & Songwriter. Ndani ya miaka mitatu nimekua nikijaribu kuendeleza craft yangu kiujumla na ningependa muweze kuipitia na kunipea genuine feedback, your support and...
  16. Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

    Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
  17. Maoni yenu tafadhali tafadhali

    Habari za uzima ndugu zangu, Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma??? Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti na mwenye diploma???
  18. Mwenye mitihani ya leseni pharmacy (miaka ya nyuma anisaidie tafadhali)

    Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
  19. Wasomi wenye kufahamu Uchumi wa buluu maana,faida na hasara zake Tafadhali?

    Ninaomba mawazo yenu hili neno ninaona litakuja kufanana na KILIMO KWANZA AWAMU YA NNE.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…