Msaada: Nini tofauti ya kozi hizi?

Sijawahi ona bachelor arts economic nadhani umeangalia vibaya au kuna typing error uliposoma
 
naomba uffanuzi maana kuna mtu anasema Bachelor of Arts in Economics anakwenda kuwa mwalimu wa economics and Bachelor of Arts Economics ni mchumi wa kawaida
 
Ni za chuo gani? Mwalimu wa uchumi kwa system ya Tz ni Bachelor of Education in Economics au B.Ed. (Economics).
 
Back
Top Bottom