Kumekuwa na sintofahamu ya matukio ya wizi uliokithiri maeneo ya Ipuli hapa mtaani Mrenda Mkoani Tabora, matukio ambayo yanayofanywa na watu ambao bila shaka ni vibaka kulingana na aina ya wizi wanaofanya.
Tabia hiyo ilianza mdogomdogo lakini sasa inazidi kukomaa, vibaka wanakata madirisha ya...
Ifucha, Tabora
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
Jumapili ijayo Juni 25, 2023, jimbo la Tabora linampokea askofu mkuu Protase Rugambwa akitokea Roma alikokuwa kwenye jopo linalomsaidia Papa kuongoza kanisa duniani. Jopo hili linaitwa "Roman Curia" lina idara zinaitwa "dicastery" na moja ni ya "Uenezaji Injili Duniani".
Akiwa bado padri...
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne wakazi wa Kata ya Usunga Wilaya ya Sikonge kwa kosa la kumuuwa Alfred Lusamalo aliyekuwa Diwani (CCM) miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Waliohukumiwa kunyongwa ni Nelson Mlela (37), Masemba Lusangija...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma leo Juni 15, 2023 mkoani Tabora amefungua mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSSETA) kitaifa katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo Mhe...
..........................................................................................
TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu .
Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma.
Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini.
----
Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui.
Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha Furaha.
Hebu angalia Picha hii halafu toa maoni yako.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
Niende kwenye mada wanyamwezi ni nyoko si mwanaume si mwanamke mapenzi yao wote ya kichawi, mvuto na wito wa kutumia dawq kumuita unaemtaka.
Hivi mkoa wa tabora sikonge wanyamwezi huu upuuzi wameutoa wapi.
Kizinde changu kimewashinda kila walichojaribu wapi mwamba nimeiva.
Leteni visa...
MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA
SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
Msaada jamani,
Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka.
Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi.
Tabora. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru)...
PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA
John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
Msafara wa Viongozi uliokuwa ukielekea Kigoma kwaajili ya maandalizi ya uzinduzi wa Oparesheni mpya ya Chama umepata ajali saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023.
Ajali hiyo imetokea wilaya ya Uyui Tabora, Kata ya Kigwa, Waliopata ajali Yohana Kaunya Kaimu Katibu Mkuu Bavicha, Nuru...
Tabora ni moja ya miji ambayo Serikali ya Tanzania imewekeza nguvu katika kuboresha miundombinu ya barabara ambapo kuna miradi kadhaa inaendelea na mingine imekamilika.
Rwegoshora Michael ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Tabora, ameeleza kuwa kwa jumla mkoa huo una Kilometa 2,188.09 za...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria.
Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...