Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

Joined
Jun 15, 2019
Posts
80
Reaction score
106
Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana.

Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa kisambaa(lushoto), wairaqw (karatu), wamasai (ngorongoro). No matusi please, kuna research kidogo nataka nifanye.
 
Hao mkuu jitahidi kusaka hela kwa udi na uvumba ndo utam win mtoto wa kithambaa.
Na usisahau kumfungulia duka limkeep busy ila usifuatilie ameingiza sh ngapi!!
 
Swali lako halijakaa sawa wachaga kwenda December makwao na unataka asili ya wadada wa kisambaa au kabila la wasambaa?
Kama ni tabia Kila mtu anatabia zake binafsi sio asili hiyo ni mtu binafsi usije chafua kabila la watu kisa msichana mmoja wa kisambaa
 
Nimetumia huo mfano wa wachaga, kwamba ni kweli kuna muda kabila hali changii sana kwenye tabia ya mtu, ila kwa kuwa watu wengi sio wasafiri, wachache ndio wasafiri, wanapokaa pana influence sana tabia zao. Mfano tabia ya wachaga kutafuta pesa, ni kama mila kwao. Watu wengi utakapowaambia "mchaga", cha kwanza kitakachokuja kwenye akili yao ni pesa, wanajua dhahiri wanasifika kwa kujua kutega pesa, mimi si mchaga, ila nimetolea kama mfano
 
Ni malaya vibaya mno unaweza kula dada, mdogo mtu, na mama yao mradi tu uwe unawapa vi ofa vya sembe kilo na dagaa mchele wa buku mbili kwishaaaaa
Kama wewe si mchaga basi ni mrangi. Wasambaa ulioeleza hapa sijui kama wapo. Wanafuata mila sana. Wanaheshimu mipaka na ni wachapakazi hakuna tena hawana makuu wala kuendekeza ndugu kama wachaga. Ingekuwa kondoa au moshi ungehesabu mia nne wakiwamo mama zao hata shangazi zao na bibi zao kama wewe ni wa hovyo hivyo.
 
DIVA THE BAWSE wa wasafi na GEA HABIBU AU DAGEA WA CLOUDS ni wasambaa. Tabia zao walizo nazo ndio wasambaa wote wapo hivyo. ila hawamnyimi mtu anaempa hela ya kusuka
 
Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana.

Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa kisambaa(lushoto), wairaqw (karatu), wamasai (ngorongoro). No matusi please, kuna research kidogo nataka nifanye.
Mdada wa kisambaa ukimuoa ili ndoa iwe na amani hakikisha tu hukosi kadebe ka nyanya chungu ndani, wavumilivu sana hata ukimwachia elfu 2 anabajeti chakula cha siku nzima mchana na usiku sheikh🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom