Tabia ya kuwafungulia watu kesi na baadae kuwaachia iwe na mipaka kwa waendesha mashitaka na mahakama

Tabia ya kuwafungulia watu kesi na baadae kuwaachia iwe na mipaka kwa waendesha mashitaka na mahakama

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,724
Reaction score
2,325
Inakuwaje waendesha mashitaka wanaletewa kesi na polisi na kuwashitaki wananchi kwa makosa ya kusingiziwa yaliyowazi kabisa pasipo kuhoji?

Inakuwaje hakimu anaona kabisa kesi iliyofunguliwa na waendesha mashitaka ni ya uongo na bado anaiedesha?

Kwanini wasisimamie HAKI ili kulinda AMANI kwa kukataa kushiriki kesi za kubabikiziwa watu?

Kwani wanakamatwa kwa kesi za kubambikiziwa na kuachiwa tu bila hata kifidiwa??

Kwa hili na mengineyo hakutatokea Tanzania kuwa na AMANI kabla ya HAKI
 
Back
Top Bottom