tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tabia ambazo wanazo Watanzania tu, hazipatikani kwingine kokote

    Wakuu, Hebu njooni hapa tukumbushane tabia ambazo Watanzania tu tunazo, yaani huzikuti Ulaya wala Marekani, ni hapa Afrika tu Mimi nina hizi hapa za kwangu wakuu Umeme ukikata ni LAZIMA utoke nje ili ujue majirani kwao kama upo au haupo Ukishakula chakula kwa jirani, lazima uzuge uzuge...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ni Mlokole? Mbona ana tabia za kilokole?

    Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maisha—ikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa mara ni ChatGPT. Swali ninalojiuliza ni hili: “Hivi ChatGPT ni mlokole?” Mbona inaonekana wazi...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Wadada hii tabia za kuzalishwa huko mijini(jiji) kisha watoto kuwapeleka kwa bibi zao zikome

    Mdada umeanzisha mahusiano huenda hata mzazi hakujui mwisho wa siku mkapigana mimba na mtu wako, iweje muanze kusumbua wazazi kuleta watoto wenu kijijini mkizaa huko bakini nae hukuhuku. Mtoto mdogo unaenda kulelewa na bibi na babu ambao tayari ni wazee sana unategemea malezi ya mwanao yatakuwa...
  4. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Msichana ukifika miaka 27 haujaolewa tafakari juu ya tabia zako wala sio riziki kama mnavyojidanganya

    Wewe msichana uliyefikisha miaka 27 bado haujaolewa, em kaa chini jitathmini juu ya mwenendo na tabia zako, Lazima utajikuta una matatizo yanayokimbiza wachumba, kwasababu msichana yoyote mwenye mwenendo na tabia nzuri huwa anaolewa mapema sana kuanzia miaka 18 mpaka 25. Ikiwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila unapojua unaenda kupiga kura, jenga tabia ya kuiombea kama sadaka inavyoombewa

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ndugu wapendwa,nipende kusisitiza, nyakati kama hizi wanasiasa wengi wanashinda kwa waganga wakitoa Kila aina ya kafara, wanachinja ili kuteka utashi wako kwa Kila namna, wanajua unapozungumzia energy,chanzo chake ni utashi, hivo wanaenda huko ,wanaomba kwa...
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tabia 8 Zinazochelewesha Mafanikio

    *✨ Tabia 8 Zinazochelewesha Mafanikio — 🔷 1. Aliyemaliza chuo na hajawahi kujifunza ujuzi wowote wa ziada Kama hana kazi, atateseka sana. Soko la ajira limejaa ushindani. Elimu ya chuo haitoshi bila ujuzi wa vitendo unaolipa bila ajira kama digital marketing, graphic design, coding, video...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi najiuliza kama teknolojia zingekuwa Afrika sizani hata hivi tunavyovitumia vingekuwepo sasa kwa sababu ya tabia zetu kutokubali kukosolewa

    Ni metumia neno teknolojia ila nitabeba mambo mengi ambayo ndio yameleta maendeleo nchi nyingi.Ukiangalia kila siku simu yako janja apps zake au firmware zinaomba update kila siku sababu ya kurekebisha makosa ili uweze kutumia. Kwa mfano huu kama zingekuwa ndio afrika hakuna kitakachofanyika...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  9. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

    Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
  10. proton pump

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani unafahamu madhara yake lakini unakuta umeshaifanya tena?

    Binadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tabia zifuatazo watachelewa sana au hawataweza kuwa matajiri kwenye uzao wao wote

    1. Watu wenye tabia za uoga 2. Watu wenye fikra za kimaskini 3. Watu wanaopenda kuzaa watoto wengi. 4. Watu wanaopenda kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu wengi. 5. Watu wanaoamini kuwa utajiri ni bahati. 6. Watu wasiomwamini MUNGU
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani huipendi kutoka kwa mpenzi wako lakini huwezi kumwambia?

    Wakuu! Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌 Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika". Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kukosa uvumilivu (Low Frustration Tolerance & Impatience)

    Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii hukosa pia shukurani – haoni uzuri wa juhudi wala hazijatosha kamwe. --- 🔍 VIASHIRIA VYA MTU MWENYE...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unalea tabia zitakazokutesa mwenyewe

    Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya 1. Rais ni National comforter 2. Rais ni Miezi wa nchi 3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea, Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    1. ROMBO a. Wachapa kazi - bulldozer b. Wana upendo c. Wabunifu sana kimaendeleo d. Wana heshimu ndoa e. Ulevi - hadi gongo na konyagi f. Ushamba g. Hawajui kupika h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu...
  16. mager6

    JamiiForums Tanzania Hizi tabia hazivumiliki

    Mke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga stori habari za familia yao, na umbea wa kutosha. Kuna Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya watoto watu wazima kama huyu, wavivu. Chai inakuwa shida kuipata kwa wakati, kuna muda...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tabia yangu ya asili " Ujuaji" Ilivyo sabanisha nisome na kumaster Mathematics

    Leo nimekutana na school mate wangu wa O-Level. Her name is Munira. Mimi nikiwa form 4, 2002 yeye alikuwa form 3. She was my friend. I am 1 year older than her. In 2002 I was 16 and 17, she was 15 and 16. Sijawahi kuona msichana ambae " anapenda" hesabu kama yeye. It was as if her brain...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

    Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo; 1. Je tabia asili yake ni ipi? 2. Je mambo gani huathiri...
  19. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Hii tabia kitaalamu tunaiitaje?

    Nacheka kwa uchungu Embu wanaume tuongee hapa, una kitu umekiona umekitaman na unaona kabisa kitakufaa ama kitaifaa familia yako, na zaidi una shida nacho sana na pengine unamudu garama kabisa kukipata Ila unamshirikisha mkeo/mwanamke wako /songea tuishi wote, anakataa, na wewe unakubali...
  20. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Nina tabia ambayo inanitesa sana ya kula mboga nyingi

    Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto. Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa kula,yaan roho yangu inasononeka kabisa ukinipa chakula na mboga ndogo. Hali inayonifanya hata...
Back
Top Bottom