Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
583
1,478
Habari.

Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto.

Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi kama alivyoahidi.

Hivi ni vibaya kuvunja mahusiano na mtu wa namna hii? Huyu si mtu mwenye lengo la kukuharibia maisha?

Pili, hivi mkitumia p2 mnapata side effect zipi? Mimi nimetumia mara ya kwanza tu na spot nakaribia kumaliza mwezi sasa haikati. Hospital wanasema ni kawaida na mwili wa kila mtu upo tofauti.

Kwa usalama wangu nimeamua kumawacha huyo mwanaume maana sifikirii kurudia kamwe kumeza p2. Pia sifikirii mambo ya kuanza njia za uzazi wa mpango nyingine kwa sasa.
 
Hao wadada wasasa watakuja kukushauri umuache halafu wao watamchukua watambebea na mimba!,utatangatanga huko ukaingilie mahusiano ya watu wakuroge!.

Mimi nakushauri kama mwanaume tulia na mtu wako isipokuwa muelimishe na tumia watu wake wa karibu kama hasikii, kaeni chini mtimize malengo yenu acheni fujo.
 
Au watamshauri atumie chupa ya Mirinda
 
Habari.

Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto.

Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi kama alivyoahidi.

Hivi ni vibaya kuvunja mahusiano na mtu wa namna hii? Huyu si mtu mwenye lengo la kukuharibia maisha?

Pili, hivi mkitumia p2 mnapata side effect zipi? Mimi nimetumia mara ya kwanza tu na spot nakaribia kumaliza mwezi sasa haikati. Hospital wanasema ni kawaida na mwili wa kila mtu upo tofauti.

Kwa usalama wangu nimeamua kumawacha huyo mwanaume maana sifikirii kurudia kamwe kumeza p2. Pia sifikirii mambo ya kuanza njia za uzazi wa mpango nyingine kwa sasa.

Unaishi na huyo mwanaume?kama hapana basi huna haja ya kuvunja mahusiano nae...kutana nae siku ambazo sio za hatari

Kuhusu P2 mimi sijawahi kutumia
 
Back
Top Bottom