luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa.
Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake.
Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha mbona bado shule za serikali hasa hasa hasa hizi za kata mbona bado vijana wanafeli?