Nikiwa huku Famagusta nawatumia Taarifa

Nikiwa huku Famagusta nawatumia Taarifa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,697
Reaction score
32,274
Jana nliweka uzi kuhusiana na kiongozi wenu mmoja kunitega tega.

Nipo huku Famagusta kuna watoto wakali. Cyprus mnaifahamu kuna kisiwa kinaitwa Famagusta. Hili jina limenikumbusha maskani ya wana kitambo sana ilikuwa inaitwa Famagusta.
 
ninyi mmeelewa! ila sitoweza shangaa sana, jina la mleta uzi linajieleza.
 
Kuna timu huko inawatandika sana wenzie naikutaga kwenye Mikeka Betting inaitwa Anorthosis Famagusta!! 🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom