taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

    WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbalia, pia amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  7. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Taarifa ya mabaki ya viungo vya binadamu Mpiji Magoe ni ya zamani

  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC): Tunalinda Taarifa Binafsi ili zisiende kwenye mikono isiyo sawa

    Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi? Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa UDART tukio la abiria kupanda mwendokasi bila kufuata utaratibu

    🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
  11. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa viongozi wa wWafanyabiashara ndogondogo makundi yote

    Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote. Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa 8 mchana kutakuwa na mkutano wa kidigitali (zoom) nchi nzima mikoa yote yaani kati ya Wizara ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo havi-update kwa wakati taarifa za Diploma kwenye Mfumo wa NACTE. Ukiomba ajira Serikalini, mfumo haukutambui

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi. Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa za journal za kiwaki

    Kwa wale wanaofanya publications za tafiti mbalimbali watanielewa nikisema "journals." Nimeamua kuja ili tusaidiane tuepuke gharama na usumbufu unaoweza kuepukika kutokana na journals ambazo; 1. Wanataka malipo kwa kusaini fomu kibao. 2. Ukishalipa hawataki tena mazoea wala kukujibu kwa wakati...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je ni wakati wa kufuatilia Insta ya Jamii Forum na zile Zingine Zisizo toa Taarifa SAhihi!

    Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee. Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf. Tutajieni majina ya kuachana nao.
  15. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe ameshiriki kwenye uzinduzi wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050 kama nani?

    Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani? i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA? ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA? iii/ Kama...
  16. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetolewa kwenye taarifa ya habari ya nje

    https://www.facebook.com/share/r/1BykRQbp9J/ Dah hadi huku wamejuaje?? Kumbe fisiem imeingia madarakani tokea 1977 hadi naleo .
  17. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simbaya: UTPC tunashirikiana na JamiiAfrica kutoa elimu ya uhakiki wa taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali kutoa elimu ya masuala taarifa potofu ili kuhakikisha Jamii inapata taarifa sahihi na kuwasaidia kufanya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  20. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Sativa: Bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote?

    Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X: Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI. Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na...
Back
Top Bottom