taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

  2. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili taarifa ya ajali iliyotokea mpakani mwa wilaya ya kiteto na kongwa ina ukweli gani?

    Good morning! Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa. Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani Dar es salaam ambapo lilipinduka na kuwaua watu watano palepale na baadhi yao kujeruhiwa. Sasa kwa...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  4. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump akanusha taarifa za kijasusi kuwa mashambulizi hayakuharibu mpango wa nyuklia wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amejibu ripoti kuhusu tathmini iliyovuja ya kijasusi juu ya shambulizi la Marekani dhidi ya Iran. Akichapisha ujumbe kwenye jukwaa la Truth Social, Trump alivisuta vyombo vya habari vya Marekani na taarifa zao. "TAARIFA ZA UWONGO CNN, PAMOJA NA NEW YORK TIMES...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi zijifunze kwa Simba kulinda kuvuja kwa Taarifa Nyeti

    Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba italeta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa. Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MCT: Wadau wa kukabiliana na taarifa potishi kama wanavyofanya JamiiAfrica wanahitajika

    Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka IDF (Israel defence forces)

    Hii ndio the latest report kutoka IDF.
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya hali ya utoaji wa Huduma katika Taasisi ya MOI kwa kipindi cha Februari 2025 hadi Mei 2025

  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu

    Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata. Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumeona tangazo la Marekani, Tumeanza kufanya Mashauriano

    Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake. Kabla ya kufika...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalum chini ya ardhi underground bunker saa 10 jioni

    Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Halmashauri zote kuhusu Hotel Levy

    Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe na taarifa hii msije mkawanyanyasa wafanyabiashara wasiojua taarifa hii. Nawasilisha.
  17. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Sugu amelalamikia kutengwa na kamati kuu ya CHADEMA

    kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

    Mchambuzi wa Michezo Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika ✍🏿 "TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali hii ina maana kuna uwezekano mkubwaa taarifa za fedha pale TFF hazipo sawa na uwezekano wa kuwa na...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

    Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye? Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
Back
Top Bottom