Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Tumia akili

Member
Apr 1, 2013
66
1,165
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija.
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni.
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya.
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe.
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa.
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii.
16. Chama bado kina misingi mizuri, imarisha kwa kuteua watu wenye maono na uzalendo kwa nchi.
17. Sisi hatutakuja kukuingilia, teua na unda timu kwa kadri unavyoona inafaa.. watendee watu haki nasi tutaendelea kukuunga mkono.

18. Mpaka sasa umetuonesha mwanga mwema nasi kwakuwa tunaipenda nchi tumesitisha 'mipango' yetu ili utimize majukumu yako na kusimamia haki.

Tulishauri, hakusikiliza na sasa hayupo. Nimepewa ujumbe, nimeufikisha.
 
Msitishe Madame President, Tanzania iko imara na Hayati John P. Magufuli alifariki kifo Cha kawaida na kila mtu anajua na sio ule utabiri wako feki.

Pengine sababu kuu ni ukaidi wake wa namna ya kupambana na COvid-19 na kisha akaji- expose kupita kiasi ili Hali alikuwa katika kundi hatarishi. Hili lilionekana dhahiri na hata lilionekana wazi linaweza muathiri kama ilivyotokea kwa Mkurunzinza.

You're nobody...wewe ni kama wasaliti wengine walioko kwenye serikali wenye access ya information muhimu ambao wanavujisha kabla hazijatangazwa.
 
Msitishe Madame President, Tanzania iko imara na Hayati John P. Magufuli alifariki kifo Cha kawaida na kila mtu anajua na sio ule utabiri wako feki. Pengine sababu kuu ni ukaidi wake wa namna ya kupambana na COvid-19 na kisha akaji- expose kupita kiasi ili Hali alikuwa katika kundi hatarishi. Hili lilionekana dhahiri na hata lilionekana wazi linaweza muathiri kama ilivyotokea kwa Mkurunzinza...
Ikiwa sisi nasi tunaua kwa namna unayoongelea wewe basi hatutakuwa na tofauti na hao.. hatupo na hatuwezi kwenda level za kumfanyia mtu ubaya kwa namna ya mwilini.

Upande wa pili unaona namna ambavyo dhamira ya huyu ni njema kutenda haki na imempa kibali kufanya hivyo.
 

Rejea mada yako hapo juu,

Pamoja na kuwa watu wanakuponda, lakini kama uliweza kuwa na macho yalioona yaliyofunikwa, basi huu si ushauri wa kupuuzia,

Yanayowezekana yafanyike, yasiyowezekana yaachwe.

Tumia akili Endeleza kipawa chako, nduguzo wanakihitaji
 
Msitishe Madame President, Tanzania iko imara na Hayati John P. Magufuli alifariki kifo Cha kawaida na kila mtu anajua na sio ule utabiri wako feki. Pengine sababu kuu ni ukaidi wake wa namna ya kupambana na COvid-19 na kisha akaji- expose kupita kiasi ili Hali alikuwa katika kundi hatarishi. Hili lilionekana dhahiri na hata lilionekana wazi linaweza muathiri kama ilivyotokea kwa Mkurunzinza.

You're nobody...wewe ni kama wasaliti wengine walioko kwenye serikali wenye access ya information muhimu ambao wanavujisha kabla hazijatangazwa.
Ungekuwa umeshasoma aliyoandika mwaka Jana 2020, usingeandika uliyoandika.
 
Back
Top Bottom