Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,599
217,991
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani.

Kiukweli katika kipindi cha miaka mitano sasa ndio naanza kuliona jambo hili.

Hivi ni nini kimetokea?
 
Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
Uongo , Nani aliachana na kuangalia local channels, akawa anaangalia tamthilia,

Ikiwa umefanya hivo wew pekee.

Usijumuishe watanzania wote.

Inapogosha..
 
Kweli Watanzania ni

IMG-20210410-WA0022.jpg


FB_IMG_1617996219303.jpg
 
Back
Top Bottom