taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Malegendi mnadili vipi na wanawake wanaowapa taarifa wapo siku zao baada ya kula ofa zenu

    Hii hali mnadeal nayo vipi malegendi. Kashakula, kashakunywa, shopping, n.k. lakini umeomba game ndio anakupa taarifa kwamba yupo siku zake... Mbaya zaidi time frame mliyonayo ni siku hizo ambazo atakua kwenye siku zake, hadi azimalize ni yeye au wewe utakuwa umeondoka,
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nieleweshe tafadhali: Mikutano ya hadhara ya kisiasa unaomba kibali polisi au unatoa taarifa tu polisi?

    Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako? MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa...
  3. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  4. JamiiForums Tanzania Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

    Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
  5. JamiiForums Tanzania Aliyemtumia Rais Samia taarifa za wizi wa Mahindi ya NFRA atafutwa na Polisi

    Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Makamba unampa taarifa za uongo Rais kwa faida ya nani?

    Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu. Sasa juzi Januari...
  7. JamiiForums Tanzania Sallam SK aweka wazi taarifa za kutofautiana na Diamond Platnumz

    Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo ya Harmonize KondeGang Records Worldwide. Kwa maneno yake, "hilo halitatokea kamwe". Kwa takriban...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

    ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili dirisha dogo

    ~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane. ~ Yanga wanamaliza na Bobosi. ~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza. ~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo. Sijapata za uhakika...
  11. JamiiForums Tanzania Tafuta hela, kutafuta taarifa za watu ni umaskini

    Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena. Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  14. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

    Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?! Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa. Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
  16. JamiiForums Tanzania Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

    Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
  19. JamiiForums Tanzania Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi za afya zitekeleze utunzaji salama wa taarifa za wagonjwa

    Taarifa za matibabu ni miongoni mwa nyaraka nyeti zaidi kwa mtu yeyote. Kuweka salama taarifa za mgonjwa ni sehemu muhimu ya kudumisha uaminifu wa mgonjwa, na pia kulinda utu na heshima yake. Katika mlolongo wa kupata matibabu wakati fulani mgonjwa analazimika kufichua taarifa zake binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…